Sijui kwanini nimeumia hivi

Pole na huyo Mtu anayechezea hisia zako. We all have Pain, Sorrow,Sad sometimes Mtu anajibu kejeli ni maumivu mengine hayo. But relax tu rafiki
Yaani, ila niko poa rafiki.. Ubarikiwe sana
 
Kwaiyo kutokuwekwa status imekuuma je kama alikuweka na ulivo busy hukuiona hadi ikaondoka?
 
Mamaaa🤔🤔🤔.. Hiyo mbona inaogopesha
 
Kwaiyo kutokuwekwa status imekuuma je kama alikuweka na ulivo busy hukuiona hadi ikaondoka?
Mkuu angenipa tu taaarifa kuwa wameruhusiwa na wanaendelea vizuri wala nisingeshuhulika nao. Imagine mda anaweka hizo status nimempigia zaidi hata ya mara5 , nyumbani nimewakosa nimeenda tena hadi hospital na kulivyo mbali naambiwa wameruhusiwa, hapokei simu na yuko online anaweka status kma hizo, ungejiskiaje ungekua ni wewe??? Usingehisi kudharauliwa maybe
 
Ushauri mzuri mkuu, Asante..
Asa niende wapi nikateseke wakati nina wazazi😃😃, kuhama nyumbani labda wanifukuze japo najua hilo suala haliwezekani😂😂
 
Mungu akubariki sana.

Wewe usijali ya walimwengu, Mungu ameshakupa thawabu yako.


Ama kweli tenda wema sepa zako
 
Inaumiza sana mkuu,, sema ndio hivyo hatuwezi acha kusaidiana tunapambana nao hivyo hivyo
 
Kama kuna ukweli hivi🤔
 
Pole boss. Sema nini, kausha, achana nae. Ukiweza usimsimulie mama, atajisikia vibaya zaidi.
Mama siwezi kumwambia aisee, ana moyo mdogo mnooo nikiumia mimi na yeye atalia
 
Bora umenielewa mkuu, Asante
 
Kuna watu wana roho ngumu.....Asante ya mdomo tu hawezi kusema.

Wazungu bado wanatushinda kwa technolojia, je hata vitu visivyohitaji fedha na nguvu?

Mzungu ukimfanyia kitu kidogo tu anaenda nyumbani hadi anakusimulia kwa ile furaha tu ya litu kidogo uliyomfanyia.
 
Watu wa hivi ni kama amekudhihaki kwa msaada uliompa.
Hawana tofauti na Yule Rafiki yake ambaye mkipata pesa pamoja mnagawana.....Yeye weekend anaenda kula Maji baridi harafu Jpili anakupigia simu Best nitoe Elfu 10 ya umeme.

Yaani kaona pesa yako haina thamani ndio ikanunue umeme ila yake akale Bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…