Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
- Thread starter
- #261
Nimeliona hilo mkuu, Nashukuru Mungu nimejifunza japo in a hard way, ila nitabadilisha namna ya kuwatazama na kudeal na watuNa hata kupigia nakuambia,Akipiga atakuja na excuse ya kitoto kweli.Ndivyo walivyo.
Atakuweka karibu akiwa na tatizo tena trust me.
Wewe ni daraja,Kuwa daraja ni kazi sana
Binafsi Nime deal na watu wa hivyo wengi mno.Nilipopata somo kwama mimi ni daraja nikaona.Ila nimepumguza huruma.Sababu mtu wa hivyo hata siku ukiwa na shida ya mia mbili hutaipata kwake.