Barabarani inatakiwa kuwa na hekima sana ukiwa nayo una solve mambo mengi sanaEmphatic,period!
Barabarani inatakiwa kuwa na hekima sana ukiwa nayo una solve mambo mengi sanaEmphatic,period!
Mi mwenyewe ninayo, muda aliokuwa anakuja nilishaikoki. Soma Aya nilioanza "nikajiahidi..." elewa muda huwa tulikuwa tushaanza kukusanya nyuki eneo la tukio nilitaka nimuoneshe mbele ya Kota za polisi, mshamba mmoja yuleUshukuru huyo alikuwa mstaarabu.
Kwa changamoto za usalama zilizopo angekuwa ni mtu mwingine ungeishia kusikia pyuuu pyuuuu pyuuuuu.
Honestly,barabarani hata mimi sasa pananishinda.Kweli mzee, kwa situation aliyoielezea mtoa mada mimi ndio ningekuwa kwenye position yake huwezi jua nini kingetokea.
Kuna jamaa wiki iliyopita hapo nairobi kapigwa kisu cha tumbo na dereva wa uber kwa ujinga ujinga tu wa barabarani, saizi anaitwa marehemu na dereva kadakwa anaenda kunyea debe chanzo Road Rage
Kwa mujibu wa mtoa mada hilo ni kosa 🤭Kwa hiyo kumbe hata hapa Kijijini nikimuona mtu anaendesha baiskeli yake kwa kasi nami nikamkwea punda wangu na kumkimbiza kwa Kasi kulifuata baiskeli ninaweza kushtukiwa?!
Ama kweli huu si mwaka wa 47.
Cc Grahams.
Basi huyu donkey wangu nitamwendesha kwa ustaarabu.Kwa mujibu wa mtoa mada hilo ni kosa 🤭
Bora hakuishi miaka yetu ya 47 huyu 🤪
Mzee mzima mwenzangu tupige mguu tuu 😄Honestly,barabarani hata mimi sasa pananishinda.
Kinanuka utaipita LCGX na kisuzuki?Mimi naona jamaa alikuwa sahihi kusimama kukuuliza.Haiwezekani wewe ufuate mwendo wake hata kama ningekuwa mimi lazima ningejihami kama sheria inavyonitaka kuchukua hatua ili kujilinda.Ilitakiwa wewe kama unaharaka umpite uendelee zako au umwache aende na siyo kumfuata mwendo wake kuwa aktanua na wewe unatanua na akikimbia na wewe unakimbia.
Na ina ladha, baada ya lile timbwili wamba waliokuwa wanashuhudia nilivyomkazia tumeshuka wote walipongeza ujasiri maana wengi wenye miLC wanaogopwa kama miungu watu na yule ningemtolea mfano mkwiluyudada deeh!!Ila watu wazima kutukanana hadharani huwa inaleta futuhi fulani hivi.
Nilivyo mshenzimshenzi na kama ningekuwepo, lazima ningehakikisha mnazipiga kavukavu hadi mmoja aitike abeee!Nisingekubali msabahiane kwa vidole vya kati pekee.Na ina ladha, baada ya lile timbwili wamba waliokuwa wanashuhudia nilivyomkazia tumeshuka wote walipongeza ujasiri maana wengi wenye miLC wanaogopwa kama miungu watu na yule ningemtolea mfano mkwiluyudada deeh!!
Yeye ndo mdwanzi kwenye ndinga yangu namba A sijakaa kizembe hayo manati ninayo hata huo ujasiri unadhani unakuja bure tu angetunguliwa asubuhiasubuhi...ubaya ni kwamba kigari changu kina tint mbele halafu akajipendekeza kushuka anakuja usawa wa gari nikajiweka tayari na kisha kushusha kioo nikasema huyu analeta ujuaji akijipendekeza tu kaisha!, mjini hapa usijifanye mbabe kwamba usifuatwe ukiwa road we nani?, ushambaMungu mwema huyo jamaa amekuuliza kimahaba tu nawe ukamshangaa kishkaji ila kwa hali yasasa uyo jamaa angekua na manati ya kizungu angekulipua maana ulimletea ligi isiyo na maana tena mtaa mliotokea ni wakutilia mashaka
Siku ingine uwe rada.Unaweza kukutana na Mwaipopoz akiwa na mbwamwitu wake.Si unajua bila ganzi na haujajiandaa itakavyokuwa!?Yeye ndo mdwanzi kwenye ndinga yangu namba A sijakaa kizembe hayo manati ninayo hata huo ujasiri unadhani unakuja bure tu angetunguliwa asubuhiasubuhi...ubaya ni kwamba kigari changu kina tint mbele halafu akajipendekeza kushuka anakuja usawa wa gari nikajiweka tayari na kisha kushusha kioo nikasema huyu analeta ujuaji akijipendekeza tu kaisha!, mjini hapa usijifanye mbabe kwamba usifuatwe ukiwa road we nani?, ushamba