Sijui ndio tuwaite washamba au limbukeni wa magari?

Ushukuru huyo alikuwa mstaarabu.
Kwa changamoto za usalama zilizopo angekuwa ni mtu mwingine ungeishia kusikia pyuuu pyuuuu pyuuuuu.
Mi mwenyewe ninayo, muda aliokuwa anakuja nilishaikoki. Soma Aya nilioanza "nikajiahidi..." elewa muda huwa tulikuwa tushaanza kukusanya nyuki eneo la tukio nilitaka nimuoneshe mbele ya Kota za polisi, mshamba mmoja yule
 
Honestly,barabarani hata mimi sasa pananishinda.
 
Jamaa kakustahi tu kwa kuwa pesa anazo anafanya maamuzi bila hisia hana njaa, ingekuwa nimimi ningekufokoa sana tu maana watu wasiojulikana wamejaa kila kona tena iyo mitaa ya kunduchi na ununio haifai hata kidogo
 
Kinanuka utaipita LCGX na kisuzuki?
 
Na ina ladha, baada ya lile timbwili wamba waliokuwa wanashuhudia nilivyomkazia tumeshuka wote walipongeza ujasiri maana wengi wenye miLC wanaogopwa kama miungu watu na yule ningemtolea mfano mkwiluyudada deeh!!
Nilivyo mshenzimshenzi na kama ningekuwepo, lazima ningehakikisha mnazipiga kavukavu hadi mmoja aitike abeee!Nisingekubali msabahiane kwa vidole vya kati pekee.
 
Mungu mwema huyo jamaa amekuuliza kimahaba tu nawe ukamshangaa kishkaji ila kwa hali yasasa uyo jamaa angekua na manati ya kizungu angekulipua maana ulimletea ligi isiyo na maana tena mtaa mliotokea ni wakutilia mashaka
Yeye ndo mdwanzi kwenye ndinga yangu namba A sijakaa kizembe hayo manati ninayo hata huo ujasiri unadhani unakuja bure tu angetunguliwa asubuhiasubuhi...ubaya ni kwamba kigari changu kina tint mbele halafu akajipendekeza kushuka anakuja usawa wa gari nikajiweka tayari na kisha kushusha kioo nikasema huyu analeta ujuaji akijipendekeza tu kaisha!, mjini hapa usijifanye mbabe kwamba usifuatwe ukiwa road we nani?, ushamba
 
Siku ingine uwe rada.Unaweza kukutana na Mwaipopoz akiwa na mbwamwitu wake.Si unajua bila ganzi na haujajiandaa itakavyokuwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…