Sijui ndio tuwaite washamba au limbukeni wa magari?

Nadhani nchi yetu hatuna kazi za kufanya. Unaweza kuta mtu A na B wamekutana kwenye kona kila mtu hataki kurudi nyuma wanavimbiana kama madume ya mbwa Koko hata 10min.
Hii kitu kariakoo tushazoea 😂 kuna siku boya mmoja tumejibizana hovyo akashuka kwenye ndinga akasusa
 
Mbweni JKT wanakaa wengi "WATOTO WA MAMA KIZIMKAZI" next time kuwa makini ,wanamiliki MIKWAJU aka Manati ya Mzungu.
 
Kwamba wao wana nini wana damu maalumu na utofauti gani! wanaruhusiwa kunyanyasa mtu raia anaetumia barabara bila sababu yoyote?
Jamaa hadi ameshuka means ana uhakika kwamba angekutana na kitu asichokielewa ANGEFUMUA UBONGO maana hao JAMAA WA EAGLE WING huwa wanajiona dunia ni YAO.
 
watu wanaogopa kupotezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…