Sijui ndio tuwaite washamba au limbukeni wa magari?


Hofu zimekuwa nyingi kutokana na matukio ya utekaji yameshamiri sana
 
Kanuni yangu ni moja tu.. sitaki gari iwe mbele wala sitaki iwe nyuma..

Nikiona wewe ni TAIL-GATER nakuacha uende.. nikiona hautembei nakuovertake.. nikishawasha indicator ya kulia , hautoniona teena...

Safari za Masafa marefu wakija wazee wa ligi za kipumbavu nawaacha waende.. nikiona wanaweka kiwingu hapo mbele naweka chuma kulia.. ikirudi kushoto ndio imetoka hiyo watanikuta restaurant napata supu.
 
Haya ndio mambo napenda na ndio sababu nimekuwa shabiki wa mashine za kijerumani ugoigoi barabarani sipendi pia...sasa huyu mshamba na GX lake nilimchallenge tu na liescudo langu chakavu akapata joto, ningekuwa na M series bm asingenisumbua na toyota lake angekaa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…