GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
TEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!