Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely Nonsense.Yaani bado unaamini mambo ya
freemason na mda huo unaabudu hilo kanisa. Una akili kweli?
Watu wanalipinga wazi kwa kusema 90% viongozi wa hapo ni mashoga na hakuna kitu wanafanya.
Kama unabisha tangazeni vita hadharani ndo mtajua nan ana amani ya kweli.!!
Sipotezi muda wangu na Watu wasiomiliki Akili Timamu hapa JamiiForums na Kwingineko.Huu ni upuuzi..wewe habari za marekani unaushahidi nazo upi acha kutuletea stori za kwenye kahawa
Umeshapoteza muda kuandika uzi wa kipuuzi..eti waziri mkuu na rais wa states wanaenda vatican..toa ushahidi sio unatuandikia porojo za kwenye kahawa....tupe facts je USA inategemea kitu gani kutoka vatican???Sipotezi muda wangu na Watu wasiomiliki Akili Timamu hapa JamiiForums na Kwingineko.
Sipotezi muda wangu na Watu wasiomiliki Akili Timamu hapa JamiiForums na Kwingineko.
MpwaTEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE ( Precious Blood Brothers )
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake...
Hauna jipyaAbsolutely Nonsense.
Kitabu chake chenye utata, In God's Name: An Investigation into the Murder of Papa John Paul I (1984), kilidai kwamba Papa John Paul I, alipatikana amekufa akiwa na umri wa miaka 65 katika vyumba vyake muda mfupi tu baada ya kuwa papa mnamo 1978, alitiwa sumu na Waashi wa siri waliokuwa wamejipenyeza Vatikani na Benki ya Vatican.Toka hili suala la bandari limeanza, nimeidharau sana Idara ya Uenezi wa CCM.
Mchezo wa kutumia propaganda ya Dini na Uhaini hautowasaidia...
Mpumbavu wewe.TEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Usiwe unatuletea stori za kwenye kahawa bwana njoo na evidence ni mfalme yupi na mwaka gani..Kuna mfalme mmoja huko ulaya alileta za kuleta akajikuta anatembea kwa magoti kuelekea vatican kwa papa kuomba msamaha. Dola ya rumi ipo kimtindo (invisible) na ina nguvu kubwa duniani hakuna wa kuichezea, chezea vitu vingine lakini si vatican
Shida watz kusafiri hatutaki kazi ni kulishana matango pori ya kwenye kahawa tu...vatican ni mji mdogo mno hiyo ni makadirio ya 20% ya newyork city tu...kihistoria utawala wa vatican ulishawahi kukalishwa na mfaransa tu ..alafu kuhusu superiority USA ndio baba lao..italy ilikuwa karne hizo kwa karne hii na technology tulizopo marekani hana mpinzani, kikubwa wanachojivunia ni kundi kubwa la waumini wa Catholic sio jeshi huyu popoma kwa kutunga nyuzi za kipuuzi hajambo..vatican mji wa historia tu uleHauna jipya
stori za kahawa zinatoka wapi? Uwe msomaji wa mambo mengi upate kufahamu usiyoyajuaUsiwe unatuletea stori za kwenye kahawa bwana njoo na evidence ni mfalme yupi na mwaka gani..
Ni mwisho wao umefika sasa, wanatafuta pa kufiaToa ujinga wako hapa.!!
Mlivyokuwa waoga wa vita ,jaribuni muone 😅😅.