Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

Absolutely Nonsense.
 
Mpwa
Umeandika kitabu hapo tayari
 
Toka hili suala la bandari limeanza, nimeidharau sana Idara ya Uenezi wa CCM.

Mchezo wa kutumia propaganda ya Dini na Uhaini hautowasaidia.

Kwa sasa Rais atoke hadharani atoe dira yenye ufumbuzi chanya wa suala hili. RC ni taasisi yenye nguvu kubwa za ushawishi popote pale duniani. Serikali yoyote makini, haiwapuuzi.

Asiyemuelewa mtoa mada kuhusu VATICAN + MAFIA, Akamsome David Yalop kwenye In God's Name namna gani walivyo kiasi cha kumpoteza Pope John I.
 
Kuna mfalme mmoja huko ulaya alileta za kuleta akajikuta anatembea kwa magoti kuelekea vatican kwa papa kuomba msamaha. Dola ya rumi ipo kimtindo (invisible) na ina nguvu kubwa duniani hakuna wa kuichezea, chezea vitu vingine lakini si vatican
 
Toka hili suala la bandari limeanza, nimeidharau sana Idara ya Uenezi wa CCM.
Mchezo wa kutumia propaganda ya Dini na Uhaini hautowasaidia...
Kitabu chake chenye utata, In God's Name: An Investigation into the Murder of Papa John Paul I (1984), kilidai kwamba Papa John Paul I, alipatikana amekufa akiwa na umri wa miaka 65 katika vyumba vyake muda mfupi tu baada ya kuwa papa mnamo 1978, alitiwa sumu na Waashi wa siri waliokuwa wamejipenyeza Vatikani na Benki ya Vatican.

Wakaguzi, na Kanisa, walitupilia mbali kitabu hiki kama nadharia ya njama isiyo na msingi. Kitabu hiki kilitengeneza orodha ya Wauzaji Bora wa New York Times kwa wiki 15, kilitafsiriwa katika lugha nyingi, na kilichapishwa tena na tena, kikiuza zaidi ya nakala milioni sita.[1]
 
Mpumbavu wewe.
 
Kuna mfalme mmoja huko ulaya alileta za kuleta akajikuta anatembea kwa magoti kuelekea vatican kwa papa kuomba msamaha. Dola ya rumi ipo kimtindo (invisible) na ina nguvu kubwa duniani hakuna wa kuichezea, chezea vitu vingine lakini si vatican
Usiwe unatuletea stori za kwenye kahawa bwana njoo na evidence ni mfalme yupi na mwaka gani..
 
Hauna jipya
Shida watz kusafiri hatutaki kazi ni kulishana matango pori ya kwenye kahawa tu...vatican ni mji mdogo mno hiyo ni makadirio ya 20% ya newyork city tu...kihistoria utawala wa vatican ulishawahi kukalishwa na mfaransa tu ..alafu kuhusu superiority USA ndio baba lao..italy ilikuwa karne hizo kwa karne hii na technology tulizopo marekani hana mpinzani, kikubwa wanachojivunia ni kundi kubwa la waumini wa Catholic sio jeshi huyu popoma kwa kutunga nyuzi za kipuuzi hajambo..vatican mji wa historia tu ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…