Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

bakundande jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
507
Reaction score
672
Habari za mda wadau wa forum hii pendwa. Bila ya kuwachosha na kujichoshq mimi mwenyewe niende moja kwa moja kwenye kile ambacho kinaendelea.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu uchi. Kwa mfano unaweza kuta mdada kavaa suruali yake safi ila juu kavaa kinguo kinachoishia juu ya kitovu. Hii imekuwa na tabia inayoshamiri kwa kasi ya SGR.

Kwa upande wangu naona mavazi ya namna hii ni miongoni mwa chanzo cha unyanyasqji wa kijinsia na hata ubakaji.

Cha kushangaza zaidi kuna watu wanakuja na kusema tabia hio ni kuenzi tamaduni zetu maana hata wazee wetu enzi zile walikuwa wakivaa mavazi yanayoacha wazi sehem kubwa ya miili yao. Hapo ndio nabaki najiuliza je ni ushamba wangu ama ndio utandawazi umeniacha ...

N.b uzi ni picha ....
 
Nilidhani mshamba ni mimi mwenyewe kumbe tuko wengi, lakini huo ndio wanaita utandawazi, imekua kawaida kukutana na Binti kavaa taiti ambazo tulizoea zinavaliwa ndani ya sketi au gauni, tena wanatembea bila wasi
la msingi ni kuhakikisha wanao wanapata malezi yaliyo sahihi, hao wengine endelea kuwashangaa tuu kuwa badilisha huwezi 🚶🚶🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom