Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

wewe unataka si tusiwe tunasafisha macho watu tunatoka Mbande au Chanika kuja huko Gerezani kushangaa vitovu na madodo yaliyonusu nje we unasema wavae vizuri sijapenda
 
wewe unataka si tusiwe tunasafisha macho watu tunatoka Mbande au Chanika kuja huko Gerezani kushangaa vitovu na madodo yaliyonusu nje we unasema wavae vizuri sijapenda
Sema mkuu kuna wengine huwa tunaenda sokoni (kwenye nyanyq na vitunguu) kuangalia malighafi pindi wakiinama kuchakugua[emoji1787][emoji1787]
 
Habari za mda wadau wa forum hii pendwa. Bila ya kuwachosha na kujichoshq mimi mwenyewe niende moja kwa moja kwenye kile ambacho kinaendelea.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu uchi. Kwa mfano unaweza kuta mdada kavaa suruali yake safi ila juu kavaa kinguo kinachoishia juu ya kitovu. Hii imekuwa na tabia inayoshamiri kwa kasi ya SGR.

Kwa upande wangu naona mavazi ya namna hii ni miongoni mwa chanzo cha unyanyasqji wa kijinsia na hata ubakaji.

Cha kushangaza zaidi kuna watu wanakuja na kusema tabia hio ni kuenzi tamaduni zetu maana hata wazee wetu enzi zile walikuwa wakivaa mavazi yanayoacha wazi sehem kubwa ya miili yao. Hapo ndio nabaki najiuliza je ni ushamba wangu ama ndio utandawazi umeniacha ...

N.b uzi ni picha ....
Mbona hujahoji tulipoacha kuvaa magome ya miti tukahamia kwenye nguo? Dini yako inakupoteza, inakufunga minyroro ubaki ulipo.
 
Hawa wanaovaa taiti ambazo zinafaa kuvaliwa ndani ndo huwa sielewi. Kimsingi uvaaji wa hawa viumbe una mchango mkubwa kwenye uhalifu unaohusishwa na ngono. Watetezi wa haki za binadamu nao ni mashetani wanaochangia huu upuuzi. Pia kuna baadhi ya wakristo hudiriki kutamka upumbavu kwamba mavazi hayatatupeleka mbinguni. Kwamba imani ya mtu iko moyoni sio kwenye mavazi. Wakristo wa aina hii NINAWALAANI. Mbona mabinti wa Sudan hawavai kihuni ila walizua gumzo nchini?
 
Inabidi wajifunze kutoka kwa hao wasudan. Maana sio kama wao ni wazuri sana bali dressing code pia huwa zinavutia
 
Kuna kamoja kanavaa visketi vifupi ghafla mwezi uliopita kamerudi likizo naona kanavaa magauni marefu ,Duh! kumbe kashapigwa mimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom