Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

Waafrika wengi maendeleo yamekuja wakati hatujaandaliwa yapokea, hivyo yameleta ushamba sana.
 
wahadzabe na bushman wakitembea uchi ni utamaduni ,
wakojani na wangoni wakifanya hivyo ni kufuru!

buriani bandari Salaama
Unaambiwa wamatengo ni wachapakazi Ila wangoni ni wavivu, kuna Mzee kagoma anasema wangoni ni watu shupavu sio wavivu

Hapo ndio utajua kwanini Dar slum zamani ilikua inaitwa Daresalama pitia noti za zamani anzia rupee 5 ya mjerumani utaona kitu
 
hili swala limesababisha wanaume kukosa msisimko kwa wake zao au wapenzi, sasa unashinda unaona mapaja,matiti,vitovu kila wakati lini utakuwa na nguvu za kiume, zamani walijua kujistiri kiasi kwamba akikuonyesha paja tu una changanyikiwa.
 
Habari za mda wadau wa forum hii pendwa. Bila ya kuwachosha na kujichoshq mimi mwenyewe niende moja kwa moja kwenye kile ambacho kinaendelea.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuvaa nguo zinazowaacha nusu uchi. Kwa mfano unaweza kuta mdada kavaa suruali yake safi ila juu kavaa kinguo kinachoishia juu ya kitovu. Hii imekuwa na tabia inayoshamiri kwa kasi ya SGR.

Kwa upande wangu naona mavazi ya namna hii ni miongoni mwa chanzo cha unyanyasqji wa kijinsia na hata ubakaji.

Cha kushangaza zaidi kuna watu wanakuja na kusema tabia hio ni kuenzi tamaduni zetu maana hata wazee wetu enzi zile walikuwa wakivaa mavazi yanayoacha wazi sehem kubwa ya miili yao. Hapo ndio nabaki najiuliza je ni ushamba wangu ama ndio utandawazi umeniacha ...

N.b uzi ni picha ....
Ni kweli mwanawane kuwa mababu zetu walikuwa nusu uchi soo ni kawaida wala tusipige kelele, tuenjoy kuangalia maungo ya warembo wetu. Watamu sana
 
Tunajifanya tunajua mno....ngoja Dunia itunyooshe..... tumekuwa wanawake wa ovyo sana...mke wa mtu na baamedi hawatofautiani kimavaz.....shame on us!
Sasa nguo za nini jamani na wakati tumekubaliana kuwa mabe eru na vitu vyao hatutaki
 
Barmed anavaa sket ndefu ndefu kidogo na tshirt. Mke wa mtu hapa Dar ni Chupi Dela mstari katika, sasa bhana kuna siku lidemu limoja lilivaa dela jeupe tena transparency daaah kitaa situkaona chupi hadi rangi ya tako yaani full HD 🤐
Hao ndio watamu sasa....full burudani na bongee la vibration
 
hili swala limesababisha wanaume kukosa msisimko kwa wake zao au wapenzi, sasa unashinda unaona mapaja,matiti,vitovu kila wakati lini utakuwa na nguvu za kiume, zamani walijua kujistiri kiasi kwamba akikuonyesha paja tu una changanyikiwa.
Huu uwongo jamani, kwanza zile nguo ndio zinaongeza stimu ya kugegeda. Mie demu akivaa vile vicondom alafu awe na tako na thick thighs aiseee....hapo ni mwendo wa kunyetuka tuu
 
Back
Top Bottom