Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

Barmed anavaa sket ndefu ndefu kidogo na tshirt. Mke wa mtu hapa Dar ni Chupi Dela mstari katika, sasa bhana kuna siku lidemu limoja lilivaa dela jeupe tena transparency daaah kitaa situkaona chupi hadi rangi ya tako yaani full HD 🤐
🤣🤣🤣🤣 Mambo kiukweli ni☹️
 

Ni utamaduni tu,nenda india uone vitovu wazi,ushamba tu umekujaa
 
Ni ushamba wako tu kukaza kichwa,haya ni mabadiliko ambayo huwez kushindana nayo ni either yakubebe ama uyashinde ww binafsi ila in a bigger picture tunakoelekea ni kuzur zaid itakua vyupi nje nje
 
Na kuna hizi skirt ndefuu tuu ila ni kama utumboo

Yaan ukivaa chupii yooote hi apa nje
 
Tunarudi kwenye utamaduni wetu Wa Zama Za Mawe Za Kati!!
 
Kuna Mama mmoja alimsema sana binti yake wa form 3 kisa binti yake alivaa gauni refu eti anamuabisha kuvaa minguo miefu kama bibi kikongwe[emoji1787]
 
Kuna Mama mmoja alimsema sana binti yake wa form 3 kisa binti yake alivaa gauni refu eti anamuabisha kuvaa minguo miefu kama bibi kikongwe[emoji1787]
Ni kama hapa kitaa kuna maza humvisha binti yake vimini na kumsifia kuwa ana miguu mizuri hatakiwi kuificha...
Yaani so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…