Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
kazamishwa kwenye kijiko na yeye anazama, lahaula!
huyo ongeza moja wake anaonekana wa mjini kweli kweli.
tena ukute hata kucheat ana cheat. teh teh teh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazamishwa kwenye kijiko na yeye anazama, lahaula!
Inategemeana amekuambia mkiwa kwenye hali gani,sometimes unakuta mnachat au kuongea kwa feelings mpaka mtu anaamua kueleza ukweli wake tena kwa nia nzuri,na yote ni kukuhakikishia kuwa anakupenda,yeye kuwa wazi kiasi hicho kwako shukuru sana maana kuna wengine wanafanya mambo yao kimya.
Anakupenda wala usiumize kichwa,ni ujumbe wa kawaida kuelezea hisia zake ili umwamini
umeona eeh! huyo itakua hajatulia na yuko macho juu juuu mana ukiwa unampenda mtu u dont try ..........u dont even think about itWhy would she even try? Na isitoshe bado anataka zawadi kwa kujaribu na kushindwa?
ashaliwa kitamboooooYalah!! . . .ukiona manyoya. . . . . .
hamuheshimu au anamuona jamaa boya mana kama mtu unamuheshimu na kumpenda huwezi kumuambia eti kila nikijaribu nashindwa lol!unauliza hatua? kwani lazima uchukue hio hatua?
labda kama humpendi hapo ni sababu ya kushiba ya kumuacha.
Atakutangaziaje anataka ku cheat? hakuheshimu? au ndo manjonjo yamezidi?
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!
Je kweli Kongosho siamin kama hizi ndo busara zako za mwisho?
Ndo huyo