Sijui nieleweje hii sms.

Sijui nieleweje hii sms.

Inategemeana amekuambia mkiwa kwenye hali gani,sometimes unakuta mnachat au kuongea kwa feelings mpaka mtu anaamua kueleza ukweli wake tena kwa nia nzuri,na yote ni kukuhakikishia kuwa anakupenda,yeye kuwa wazi kiasi hicho kwako shukuru sana maana kuna wengine wanafanya mambo yao kimya.
Anakupenda wala usiumize kichwa,ni ujumbe wa kawaida kuelezea hisia zake ili umwamini

jinsi ulivyotofautiana kimawazo na wachangiaji wengine ndivyo nilivyo kichwani mwangu sijielewi ni conclude vipi?
 
Unabahati sana Comrade umempata huyo anaethubutu hata kukuambia la msingi usigeuke nyuma we endelea tu kumpenda kwani mapenzi yako kwake na mapenzi yake kwake ndiyo yanayopelekea hata akakuambia,ushauri wangu usimuache zidisha mapenzi
 
kaka huyo ni girlfriend wenu na sio wako peke yako ila usijali kaka kumegewa ni jambo la kawaida japokuwa wewe ameanza kuku-alert wengine huwa unamegewa bila ya kujua.
Hao ndio Mama zetu, shangazi zetu, dada zetu n.k na hizo ndio tabia zao inabidi uzizoee na uvumilie ukiona yamezidi tupa kulee!!
 
huyo atakuwa anacheat au ameanza kucheat sasa anatafta njia ili cku ukimkamata usiumie! tafakar chukua hatua...
 
Pole jamaa yangu huyu anakusaliti sema hajampata aliyemkoleza kuliko wewe ndo maana anarudi
 
maana yake kama hajakusaliti ndo yupo mbioni........kuna mtu anategemea kua nae au yupo nae, that means sooooooooon utashare na jamaa au tayari mnashare.....

Ni kwamba amekufikishia ujumbe kiutu uzima
 
Why would she even try? Na isitoshe bado anataka zawadi kwa kujaribu na kushindwa?
umeona eeh! huyo itakua hajatulia na yuko macho juu juuu mana ukiwa unampenda mtu u dont try ..........u dont even think about it
 
unauliza hatua? kwani lazima uchukue hio hatua?

labda kama humpendi hapo ni sababu ya kushiba ya kumuacha.

Atakutangaziaje anataka ku cheat? hakuheshimu? au ndo manjonjo yamezidi?
hamuheshimu au anamuona jamaa boya mana kama mtu unamuheshimu na kumpenda huwezi kumuambia eti kila nikijaribu nashindwa lol!
 
au alikosea kutuma hiyo sms ikawa imekuja kwako,sasa ikambidi aanze kukuzuga,naona ni kitu kama kafanya vile
 
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!



Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
 
unampenda? Kama ndio sioni haja ya kuulza, kwasababu naamin ukshklia vyema upepo utapta. Kwan wangap wanafkria, wangap wanacheat bla kusema. We unapata bahat ya kuambiwa nafas yako unatetereka? Ukimuacha kwa mfano, utaenda kwa nan? Lizzy, charminggirl, russianrollete, cute, smile, ama erotica????? Hahahahahahahahahaha. Utapoteaa. Ukishikwa shikilia, acha wenge.
 
Huyu ndo yule ulimsemaga kuwa ni mzuri sana hadi anafatwa na vibosile? Nakwamba alihamua kuwa wako baada yakuwa umempa support fulani?
Kama jibi ni ndiyo basi tambua hauko peke yako. Na zaidi chunga sana maana vigogo wengi si wazima!

Ndo huyo
 
nakumbuka majuma machache yaliyopita ulimzungumzia huyu mpz wako,ukaeleza sifa na uzuri wake,ukafafanua aina ya marafiki alionao ambapo kwa maelezo yako ilikuwa ni men with pesa au kipato zaidi yako.kwa ujumbe huo kuna mambo mengi mosi anakupenda kwa dhati ya moyo kiasi kwamba ameficha namna amekuwa tempted kwa muda mrefu kiasi cha kutaka kukusaliti imekua ngumu,pili yawezekana kesha onja na huku nje but ameona hakuna cha ziada bora aendelee nawe,tatu yawezekana anampango wa kukusaliti sasa anatafuta namna ya kukuaga ili mgombane then akafanye atakalo,nne anataka ulinzi wako zaidi yawezekana hauoneshi kuwa mlinzi wake imara so anakupa vitisho kuona namna ulivyo tayari kutetea mapenz yako kwake,tano kuna uwezekano wewe binafsi hujiamini kwa hasa nikizingatia maelezo yako na sita inaonesha huna muda wa kutathimini mambo yako ya kimapenzi na namna ya kuyahimili ktk hali zote,vema uwe na muda wa kufanya review na kubuni njia nyngne za kuendesha mahusiano na hvyo kutoonekana mchov kwa wako mpz.billie wewe mtoto wa kiume simama kama mwanaume na sio kuwa mwoga na kumfanya mwenzi wako ndiye nahodha wa uhusiano.kila jema jamaa yangu.
 
Billie, natamani nikushauri vingine
lakini huu ndio ukweli.

Mwanamke akipenda, wanamme wengine anawaona kama wamevaa magauni.

Sasa huyu anayewaza kukusaliti??? Wake up!

Je kweli Kongosho siamin kama hizi ndo busara zako za mwisho?
 
Back
Top Bottom