Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huyu hamnazo kweli,yan bado kama haitoshi unatuma na picha zake,je umewahi kufikiria huenda kuna watu wanamjua humu?Unaposti na picha zake kabisa..... We dogo kweli
Umefanya jambo jema sanaNimezitoa mkuuu
Mimi nimezisave kwenye simu yanguNimezitoa mkuuu
Mpaka siku jamaa akikudavira akakupaka wese ndio utaelewa mke wa mtu ni sumuanakamata boda ajeeee hata chakula nimuwekeee wadau nifanyajeee niko njia pandaaa