Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
Bagamoyo na Kibaha wapi pazur kwa makazi tulivu?
Kwa mimi binafsi nitakuambia nenda kibaha, tatizo bagamoyo wazawa waswahili ni wengi , hakuna unachoweza kunufaika nacho katikati ya uswahili, Kibaha ni kama Dar tu , kabila mbalimbali wapo huko na fursa ni nyingi mnapokuwa mmechangamana jamii tofauti tofauti..

Jambo lingine kuna SGR inapita huko , kuna Barabara kuu ambayo ni Morogoro Rd, Bandari kavu ya Kwala ipo hukohuko pia. Inshort fursa ni nyingi..
 
Ndio,angalau mwenye kiwanja akiangalia kiwanja chake anaiona mil5 yake imelala hapo! Kuliko huyo aliyetapeliwa,waliomtapeli Sasa hivi wako viti virefu wanaisasambua😀😀😀

Wanaambiana Yule jamaa ni Fala sana 😂.

Me ndo nasemaga mambo kama haya simuachii Mungu wala Polisi na deal na wewe papendicular tu.

Utasikia tu Kuna nyumba huko imeungua, chanzo cha moto ni gesi/Umeme.

Kumbe tunaishi kama wanavo ishi n sisi.
 
Mtoa mada acha wenge, hiyo ndio bei inarenji hapo kwa upande huo wa kwa mfipa. Tulia subiri ikifika 2030 utautafuta huu uzi uufute😄😄😄

NB;Picha ya ndege Mitaa ya LULANZI SAIVI wanavirasimisha vinawekewa bikoni za namba na kuchorewa ramani na baadae hatimiliki bei zimeshoot huwezi amini🤝

📌Mji unakuwa kufata Morogoro road.
 
Kwa Dar-es-salaam bei ya soko ni Sqm 1 ni Tsh 12,000/= Makazi

sasa kwa Sqm 500 tena kibaha kwa 5m means umepigwa ,kwa Kibaha inatakiwa uuziwe kwa 4,000/= Per sqm so bei ilitakiwa ununue kwa milioni 2.
Ingia field acha kuhadaa watu na hesabu zenu za makratasi.

Hata ukienda kwa Matiasi hupati hizo bei zenu za magazijuto!!!
 
Mkuu hiyo bei ni sahihi, mi nilinunua viwanja vitatu hapo mwaka 2022 Tena juu ya hapo shamba la juu kwa mwarabu anaefuga kuku, sqm meter Moja ilikuwa 7000 saivi kwa hapo uliponunua karibu na zahanati kwa bei hiyo ni reasonable kabisaa,Tulia hadi 2030 utarudi kwenye huu Uzi utaniambia,
 
Mkuu hiyo bei ni sahihi, mi nilinunua viwanja vitatu hapo mwaka 2022 Tena juu ya hapo shamba la juu kwa mwarabu anaefuga kuku, sqm meter Moja ilikuwa 7000 saivi kwa hapo uliponunua karibu na zahanati kwa bei hiyo ni reasonable kabisaa,Tulia hadi 2030 utarudi kwenye huu Uzi utaniambia,
Itakuwa ndio mara yake ya kwanza kutoa hela kiasi hicho kwa mkupuo😀😀😀

Kiwewe kitamuisha tu aendelee kununua ardhi.

📌Kwasasa mimi natumia surveyer(MPIMA) nikiona eneo kabla sijanunua nawasiliana nae nampa laki yake akaniangalizie kama lipo kihalali na kisheria.Mambo ya kupoteza million za kutosha kisa ubahili wa kutoa ka laki ununue eneo kisheria mimi siwezi.

Eneo likiwa fresh nachukua mwanasheria wangu naye nampa laki.Tunasainishana mambo kwisha habari.

Kwa garama ya laki mbili mpaka nne maana kuna vihela vya hapa na pale unatuliza presha unawekeza hela unaendelea na mambo mengine.Watz tubadilike tutumie wataalamu hizi pressure ni unnecessary. Pesa utafute kwa shida na bado ikutese🤔🤔
 
Back
Top Bottom