Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.

Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili

Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza

Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa

Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja

Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.

Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa

Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Ardhi sio ya kujutia kununua. Kibaha Kwa Mfipa sio mbali sana kutokea Dar. Ukitangaza kuuza vinauzika, ukiacha Kwa ajili ya lengo lako pia hutojutia.
 
Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.

Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili

Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza

Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa

Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja

Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.

Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa

Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Kwa Dar-es-salaam bei ya soko ni Sqm 1 ni Tsh 12,000/= Makazi

sasa kwa Sqm 500 tena kibaha kwa 5m means umepigwa ,kwa Kibaha inatakiwa uuziwe kwa 4,000/= Per sqm so bei ilitakiwa ununue kwa milioni 2.
 
Zipo heka 2 hapo hapo Garagaza
..zipo sokoni kila heka 1 bei ni 25 milioni ...
Ukihitaji zote mbili ..50 milioni.
Location ni Garagaza jirani na kwa Shamte...
Mawasiliano zaidi ..Pm
Hiyo heka 1 inaweza kutoa viwanja vya 20 kwa 20 vingapi
 
Back
Top Bottom