G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #61
Sawa nashukuruHalafu ungejua kwamba upo sahihi ungetulia tu,viache baada ya miaka miwili hutouza kwa bei hiyo
Sawa nashukuruHalafu ungejua kwamba upo sahihi ungetulia tu,viache baada ya miaka miwili hutouza kwa bei hiyo
Asset backed laonKWani kuchukua mkopo benki si mpaka uwe na biashara?
Ndo nipo nilishaanza kuifatiloa na baadhi ya malipo nilishafanyaKikatie hati chapu , hiyo pesa inarudi mbona
Vizia mwalimu mstaafu , unauza fasta kama mwanga wa radi na faida juuNdo nipo nilishaanza kuifatiloa na baadhi ya malipo nilishafanya
Sawa sawaVizia mwalimu mstaafu , unauza fasta kama mwanga wa radi na faida juu
Nilitaka nimuuzie mama yangu milion 10 akakubali ila nikamwambia subir kwanzaVizia mwalimu mstaafu , unauza fasta kama mwanga wa radi na faida juu
Ukipata wasiwasi tena nshutue nikupe 5.5 zako hapo karibu Na zahanati, offer hii natoa siku Tano kuanzia Leo, utakuja inbox utaniachia namba mi ntakutafuta,Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Kwa nini asubiri mkuu?Nilitaka nimuuzie mama yangu milion 10 akakubali ila nikamwambia subir kwanza
Fafanua mkuu tuelimike na wengine,maana huku mtaani benki wanakopesha mtu mwenye biashara inayo onekana,ni mkopo mahususi kuendelezea biashara.asset inatumika kama bond tu hapo inaweza kuwa ni nyumba ama kiwanja.Asset backed laon
Kumbe mimi ni jirani yako ingawa nina kiwanja kimoja 25X25, nimekinunua mwezi uliopita kwa million sita. Viwanja vinapanda bei sana maeneo hayo. Wewe fikiria ulinunua 620 kwa 5M na mimi nimeunua 625 kwa 6M.Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Upo kwa wapi wewe ? 25 kwa 25 hizo ni futi ee ?Kumbe mimi ni jirani yako ingawa nina kiwanja kimoja 25X25, nimekinunua mwezi uliopita kwa million sita. Viwanja vinapanda bei sana maeneo hayo.
Mbona umeshaelezea mkuuFafanua mkuu tuelimike na wengine,maana huku mtaani benki wanakopesha mtu mwenye biashara inayo onekana,ni mkopo mahususi kuendelezea biashara.asset inatumika kama bond tu hapo inaweza kuwa ni nyumba ama kiwanja.
Na hivyo viwanja mathalani total ni milioni 7,wao wanakupa mil 4 tu.
KImoja kuna sq merter 513 na kingine kina sq merter 620Ni kama mita 17 kwa 30, ni vidogo japo umewekeza,next time relax na omba ushauri kwa consultants hata kuanzia watatu lakini usisahau kuchanganya na mawazo yako,Omba Mungu pia ukiwa na jambo lako kabla ya kulifanya
Futi utajenga nyumba bwasheeUpo kwa wapi wewe ? 25 kwa 25 hizo ni futi ee ?
Sasa changamoto inayo kuja hana hyo biashara pengine mkuu,,na wewe ulienda moja kwa moja kumshauri akakopee benki..bila kujua kama anayo biashara ama la..Mbona umeshaelezea mkuu
AHSANTEPole sana
Maana ya Sq.m ni kuwa ni upana ni meter na urefu ni mita. yaani 25MX25M = 625M (squadi). Hiyo ndiyo square Meter 625.KImoja kuna sq merter 513 na kingine kina sq merter 620
Hiyo 17 kwa 30 sijaelewa maana yake
Ni urefu na upana......upana mita 17 na urefu mita 30.25 ,ukizidisha unapata almost 513M²KImoja kuna sq merter 513 na kingine kina sq merter 620
Hiyo 17 kwa 30 sijaelewa maana yake