Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kwani hapo kwenye viwanja kafanyaje?hiyo siyo fedha ya kuwekeza bwashee.
Kwani hapo kwenye viwanja kafanyaje?hiyo siyo fedha ya kuwekeza bwashee.
Sasa hivi watu wa usalama wameingia huko ,sasa kila akaunti ikiungua utasikia leo sina mood ya kushinda nyumbani natamani niungane na walio zamu kufanya doria .kuna mfanyakazo mwenzangu alinunua hadi laptop 2 mbili baada ya kuona moja haitoshi kwa sababu ya huo upuuzi wa Forex, na imani yake ni siku moja kuwa tajiri mkubwa kutokana na shughuli za forex.
Sikatai,lakini angezunguka kidogo Tu angepata kiwanja kikubwa kwa bei hiyo hiyo!Bei zimepanda sana maana Dar kumejaa watu sasa hivi wanakimbilia njia ya Kibaha na Bagamoyo
kanunua kiwanjaKwani hapo kwenye viwanja kafanyaje?
mkuu nimeshindwa kupata connection ya maelezo na kuingia kwa watu wa usalamaSasa hivi watu wa usalama wameingia huko ,sasa kila akaunti ikiungua utasikia leo sina mood ya kushinda nyumbani natamani niungane na walio zamu kufanya doria .
Hapo ujue akaunti imeungua wanawaza wapate wapi hela ya replacement
Hongera mkuuHaujapigwa Mkuu
Hapo kibaha hiyo ndio bei elekezi wa viwanja kwa ukubwa huo na pengine hiyo miezi mitatu bei imepanda zaid ya pesa uliyonunulia
Nimenunua hapo kongowe tena hapa nnapo kwambia jirani yangu kampa mchongo rafiki yake wanataka kiwanja changu kwa bei ya juu zaidi, Mimi nimekaza fuvu na nna hali mbaya kinoma
Hata usipate tabu na usiwe na haraka tafuta madalali mmoja mpaka watatu wape kazi alaf relax
Nilinunua milion 5 jamaa anataka anipe milion 7.. nimepoa sitak kuuza maana sipendi usumbufu wa viwanja vya utapeli niliponunua nilinunua kwa ndugu yangu na pana usimamizi mzuri so ni sehemu nzuri sana kwangu
Forex ,akaunti sijui wansema zinaungua ,zikiungua kwa baadhi ya wahuni wa vyombo vya usalama ni mawazo mwanzo mwisho ,hawatamani kushinda majumbani mwaomkuu nimeshindwa kupata connection ya maelezo na kuingia kwa watu wa usalama
Watu wa jf bwana😅kanunua kiwanja
Ahsante bosskwanini haujatushirikisha lakini?
haujatutendea haki sisi tunaofuatilia
matumizi ya hizo pesa.
utani pembeni ulilonunua kiwanja ni eneo potential, utakuja kujipongeza baadae.
Usiuze maeneo mazuri sana hayo kwa sasa .. chiefHongera mkuu
Na nguvu za kuchekea unazo Olivia?Hadi nimecheka, niliifanyia matumizi mengine
Sawa rafiki,nimekuelewaUsiuze maeneo mazuri sana hayo kwa sasa .. chief
Kwa hatua aliyofikia huyo haambiriki Hadi aunguze account😀😀😀😀😀kuna mfanyakazo mwenzangu alinunua hadi laptop 2 mbili baada ya kuona moja haitoshi kwa sababu ya huo upuuzi wa Forex, na imani yake ni siku moja kuwa tajiri mkubwa kutokana na shughuli za forex.
Kuna nyumba ya urithi , niliachiwa nikaona wenye nguvu wanataka kupindua mchezo nikavuta nayo mkopo Bank nalipa mdogo mdogo ,nikiona wanakaza nawachia manyoyaBwashee mtajie na benki genuine asije kuchukua mkopo kwenye vibenki uchwara watamsaka mpaka akimbilie south africa alafu wazuru wamuue bure
Nguvu sina ila nimejilazimisha yaan nina overstressNa nguvu za kuchekea unazo Olivia?
Watalaani vibaya hao😀Kuna nyumba ya urithi , niliachiwa nikaona wenye nguvu wanataka kupindua mchezo nikavuta nayo mkopo Bank nalipa mdogo mdogo ,nikiona wanakaza nawachia manyoya
Halafu ungejua kwamba upo sahihi ungetulia tu,viache baada ya miaka miwili hutouza kwa bei hiyoNguvu sina ila nimejilazimisha yaan nina overstress
Kikatie hati chapu , hiyo pesa inarudi mbonaSina hati ndyo nipo kwenye process za hati
KWani kuchukua mkopo benki si mpaka uwe na biashara?Wewe jamaa una akili sana.
Jamaa hana shida/Tatizo lolote isipo kua anaona kama mzunguko wa pesa umepotea kwake.
Ukicheka na nyani lazima uvune MabuaWatalaani vibaya hao😀