Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
SQ meter 513 kwa 5.5 mil Kibaha umepigwa rafiki yetu!
Usijilaumu Sana tayari ni kosa umeshafanya relax Kila binadamu anakosea kwa namna yake!
Mwenzako jana katapeliwa mil 5 insta kwa inshu za Forex!
kuna mfanyakazo mwenzangu alinunua hadi laptop 2 mbili baada ya kuona moja haitoshi kwa sababu ya huo upuuzi wa Forex, na imani yake ni siku moja kuwa tajiri mkubwa kutokana na shughuli za forex.
 
Haujapigwa Mkuu

Hapo kibaha hiyo ndio bei elekezi kwa viwanja kwa ukubwa huo na pengine hiyo miezi mitatu bei imepanda zaid ya pesa uliyonunulia

Nimenunua hapo kongowe tena hapa nnapo kwambia jirani yangu kampa mchongo rafiki yake wanataka kiwanja changu kwa bei ya juu zaidi, Mimi nimekaza fuvu na nna hali mbaya kinoma

Hata usipate tabu na usiwe na haraka tafuta madalali mmoja mpaka watatu wape kazi alaf relax

Nilinunua milion 5 jamaa anataka anipe milion 7.. nimepoa sitak kuuza maana sipendi usumbufu wa viwanja vya utapeli niliponunua nilinunua kwa ndugu yangu na pana usimamizi mzuri so ni sehemu nzuri sana kwangu
 
Bei zimepanda sana maana Dar kumejaa watu sasa hivi wanakimbilia njia ya Kibaha na Bagamoyo
natafuta eneo la kuweza kujenga shule ya sekondari ya bweni maeneo ya Kongowe Kibaha
eneo lisiwe umbali unaozidi kilomita 3 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dsm
nina kianzio cha Bilion 2, nipo tayari kuwalipa waliokwisha jenga hapo katikati.
 
Back
Top Bottom