G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #81
Ooh okNi urefu na upana......upana mita 17 na urefu mita 30.25 ,ukizidisha unapata almost 513M²
Ooh okNi urefu na upana......upana mita 17 na urefu mita 30.25 ,ukizidisha unapata almost 513M²
KWani kuchukua mkopo benki si mpaka uwe na biashara?
Vimepimwa vyote na ramani ya vipimo ninazo na vina bicon zenye nambaUkipata wasiwasi tena nshutue nikupe 5.5 zako hapo karibu Na zahanati, offer hii natoa siku Tano kuanzia Leo, utakuja inbox utaniachia namba mi ntakutafuta,
Nikurudishie Na Mimi nikajute , Niko serious, ,,Ila vimepimwa!?
Unaweza fuatilia bankSasa changamoto inayo kuja hana hyo biashara pengine mkuu,,na wewe ulienda moja kwa moja kumshauri akakopee benki..bila kujua kama anayo biashara ama la..
Hii ndiyo akili ya fedha.Nimehairisha kuuza kwasababu naona nitauza kwa bei ileile niliyonunulia hivyo ni kama nitakua nimepoteza muda na kuoata hasara
Ahsante dearHii ndiyo akili ya fedha.
Ikiwa hauna shida au tatizo la kuhitaji pesa ya haraka vumilia kidogo. Subiri miaka 2 hadi 3 utauza mara 3 au zaidi ya bei uliyo nunulia.
Nilinunua kiwanja mwaka 2013/2014 hapo mjini Dar maeneo ya Goba kwa 7M. Hapakuwa na maji wala umeme, hapakuwa na lami njia kuu za Mbezi Beach -Mbezi Luis, Goba -Madale-Tegeta, Goba -Temboni, Goba-Kimara, Goba-Makongo-Mlimani City.Ahsante dear
kwa lifestyle anaiyoipitia nafikiri anahitaji kupigwa bakoraKwa hatua aliyofikia huyo haambiriki Hadi aunguze account😀😀😀😀😀
😂😂😂😂masiahara yamepitilizaWatu wa jf bwana😅
Ni suala la muda Tu!! Atalia na kusaga meno!kwa lifestyle anaiyoipitia nafikiri anahitaji kupigwa bakora
sema ni mtu mzima huwezi kumpangia matumizi ya mshahara wake
vyombo vya usalama unamaanisha nini kakaForex ,akaunti sijui wansema zinaungua ,zikiungua kwa baadhi ya wahuni wa vyombo vya usalama ni mawazo mwanzo mwisho ,hawatamani kushinda majumbani mwao
Uli target eneo la kimkakati mkuuNilinunua kiwanja mwaka 2013/2014 hapo mjini Dar maeneo ya Goba kwa 7M. Hapakuwa na maji wala umeme, hapakuwa na lami njia kuu za Mbezi Beach -Mbezi Luis, Goba -Madale-Tegeta, Goba -Temboni, Goba-Kimara, Goba-Makongo-Mlimani City.
Zingine hapo ndiyo zilikuwa zina anza kujengwa.
Sasa lami njia zote hizo, maji na umeme vipo, vituo vya mafuta hadi napakana navyo.
World bank wanatuwekea barabara za zege hadi magetini kwetu.
Sasa hivi hupati kiwanja hapo hata kwa 40M.
namuonea hurumaNi suala la muda Tu!! Atalia na kusaga meno!
Kukurupuka umekurupuka wewe? Mm ndo nimekurupuka kuhonga kiwanja cha familia kwa mdada wa jf kisa tu ana mkia. Kaniahid vitu kibao kaja kuniacha solemba LamomyNilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa.
Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia tsh.5,500,000 na kingine kina sq merter 620 hiki nililipia 5,000,000 kamili
Hivi vyote vipo kwa mfipa kimoja kipo mtaa wa galagaza na kingine kipo sijui mtaa gani ule karibu na kiwanda chakuku karibu na zahanati ya galagaza
Naona kama nilikurupuka nahisi nimenunua nje ya mji alafu kwa gharama kubwa, huenda ningepata vya 3m vizuri kabisa
Hiki ndicho kinaniumiza, najaribu kutafuta mteja nimuuzie hicho kimoja nirudishe hela yangu nifanyie mambo mengine hata sipati mteja
Hivi vyote nimevinunua miezi 3 iliyopita.
Kila siku nazidi kuumia yaani moyo unaniuma nahisi nimepigwa
Hivi ni kweli ardhi inapanda thamani?
Usiuze, utajuta baadayeVimepimwa vyote na ramani ya vipimo ninazo na vina bicon zenye namba
Kimoja kipo kanisa la kkkt galagza au wanapaita kwa mchungaji na kingine kipo kule karibu na zahanati ya galagaza karibu na kiwanda cha kuku cha wahindi
Ila kuuza nilihairisha ila ninq maumivu
Sawa rafikiUsiuze, utajuta baadaye
Wasikupe pressure hapa JF, nakueleza mimi nimenunua ghali sana na sijutii. Endelea na maisha yakoSawa rafiki