G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
-
- #141
Safari Hii Kibaha Inalwenda Kuungana Na Chalinze Baadaye Morogoro
SawaHiyo ni ardhi , upo sahihi but there's a lesson behind .
Ardhi inapanda thamani so that's not a generally mistake.
Kwa mimi binafsi nitakuambia nenda kibaha, tatizo bagamoyo wazawa waswahili ni wengi , hakuna unachoweza kunufaika nacho katikati ya uswahili, Kibaha ni kama Dar tu , kabila mbalimbali wapo huko na fursa ni nyingi mnapokuwa mmechangamana jamii tofauti tofauti..Bagamoyo na Kibaha wapi pazur kwa makazi tulivu?
Niliogopa kihairisha na kufanyia matumizi mengine maana nimekua nikihairisha mara kwa maraUlikuwa na haraka gani mkuu..
Ndio,angalau mwenye kiwanja akiangalia kiwanja chake anaiona mil5 yake imelala hapo! Kuliko huyo aliyetapeliwa,waliomtapeli Sasa hivi wako viti virefu wanaisasambua😀😀😀
Ingia field acha kuhadaa watu na hesabu zenu za makratasi.Kwa Dar-es-salaam bei ya soko ni Sqm 1 ni Tsh 12,000/= Makazi
sasa kwa Sqm 500 tena kibaha kwa 5m means umepigwa ,kwa Kibaha inatakiwa uuziwe kwa 4,000/= Per sqm so bei ilitakiwa ununue kwa milioni 2.
Sawa mkuu.Ingia field acha kuhadaa watu na hesabu zenu za makratasi.
Hata ukienda kwa Matiasi hupati hizo bei zenu za magazijuto!!!
Itakuwa ndio mara yake ya kwanza kutoa hela kiasi hicho kwa mkupuo😀😀😀Mkuu hiyo bei ni sahihi, mi nilinunua viwanja vitatu hapo mwaka 2022 Tena juu ya hapo shamba la juu kwa mwarabu anaefuga kuku, sqm meter Moja ilikuwa 7000 saivi kwa hapo uliponunua karibu na zahanati kwa bei hiyo ni reasonable kabisaa,Tulia hadi 2030 utarudi kwenye huu Uzi utaniambia,