Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.
Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote.
Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.
Naomba ushauri wenu wakuu 🙏
Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.