Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Energy kweli nakunywa lakini siyo sana
  • Punguza msongo wa mawazo
  • Badilisha lifestyle ya ulaji, tumia mbogamboga zaidi,matunda kwa sana jitahidi kwa siku angalau upate hata embe
  • Kunywa maji mengi, punguza kunywa kahawa,energy,soda ikiwezekana acha kabisa
  • Piga tizi, mazoezi hata ya nusu saa kwa siku yanatosha, jogging,push ups,planks,squats n.k
  • kama tatizo likiendelea muone daktari/mwanasaikojia
 
Asante!
 
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.

Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote. Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.

Naomba ushauri wenu wakuu 🙏

Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.
Mlete TBS tukague viwango
 
Back
Top Bottom