Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

jobless una pata wapi nguvu ya kuwa na mpenzi 🤣😂
Kaka Yan Kila nikiwaza kuwa na mpenzi alarm inapiga kichwan lazima niwe na kipato zaidi it means kwa si nilikwambia kwenye kibarua changu cha kupiga debe naweza piga 30k kwa day 🤣Ila sahv hali sio nzuri nimeshuka hadi 15k Sasa ili nianze kufikiria kuwa na mpenz labda nimiliki 1.8M
 
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.

Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote. Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.

Naomba ushauri wenu wakuu 🙏

Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.
Tunaochepuka unafikiri hatuna akiri eeh, fanya ucheze na mechi za nje zina mzuka wake.
 
Dah, hilo tatizo
Jaribu kugoogle unaweza kupata solution, vipi ulikuwa mzee wa x sana ama mzee wa nyeto?
ukiyachukulia serious sana mambo ya humu jukwaani, unaweza ukaingizwa chaka,mimi kwa upande wangu huwa nataka coment yangu ipate like nyingi,hasa zile za kicheko ndo furaha yangu, haya nilokwambia hayana uhalisia ktk maisha yangu halisi cc makaveli10
 
Nilipe ili nimwage like kama njugu kwenye comments zako zote.
 
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.

Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote.

Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.

Naomba ushauri wenu wakuu 🙏

Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.
Una madeni unayodaiwa? au mkeo anasura ya mjomba tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom