Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Tatizo una ikamia sana mpaka radha inapotea..

Kiufupi wewe ni mfuaji toka lini utaweza pata uroda wakati unafua tu mda wote
 
Tengeneza jamu ya asali mbichi na mdalasini wa India usage vzr tengeneza jamu uwe unatumia kilasiku asubuh vijiko 2,au paka kwenye Mkate, chai yako tumia asali na mdarasin, jion pia ukishapata mlo piga vijiko 2 hrf lala, fanya hivyo iwe ndio tabia yako japo fululiza kwa mwez mmoja! Hii ni nzuri sanaaaa mzee wangu hata kwa mtu wa kimoja chalii au tako 2 inajenga Sana hisia na nguvu!
2. Tumia juice yenye mchanganyiko wa maziwa, karanga, tende, ndizi na asali vijiko2 na mayai 3 ya kienyeji kula hivyo asubuh au jion yaan fanya ndio mlo wa siku nzimaaa hrf fanya mazoez rahisi tuu Lkn yahusishe miguu, kiuno, tumbo, mikono hili pia ni hatari kukujenga kihisia na nguvu!
3. Kila siku asubuh tumia vijiko 2 cha chakula asali mbichi na jion baada ya mlo iwe ni kawaida yako! Hebu Anza na hayo kwanza harafu uje utoe mrejesho hapa
 
Bora yako mkuu,mimi kimoja chali,mwenye dawa aniambie shukrani.
Sasa kwa wewe mkuu kwanza jitahid kupunguza paniki kila unapoiyona papa, harafu usipende kuitazama papa, pia usipanie kana kwamba ndio mara yako ya kwanza,, jambo unalotakiwa kuishi nalo ni kwamba Anza kumuandaa mwenza wako vzr na taratibu yaan ktk akili yako kihisia fanya kama ni rafiki yako mnacheza kawaida lkn ktk mrengo wa kuhakikisha anafika kwanza Safari yake! Sasa nakupa tiba hii hapa chini ya tatizo lako
Andaa tangawizi yenye ukubwa ambao utahisi kwamba itakuwa kali zaidi, Andaa punje za vitunguu swaum 3/4, Andaa karot nzima, Andaa limao au ndimu, Andaa asali mbichi! Chukua vitu vyote Tia kwenye blenda sagas vzr upate uji kumbuka tangawizi usimenye juice yako ikiwa tayari utachagua wewe uchuje au unywe kama ilivyo! Tumia hiyo nusu saa kabla hujakutana na mwenza wako,, NB! Hakikisha una uhakika wa shoo
Tupunguze ngono zembe ukimwi upo na unakuwa stay safe!
 
Tengeneza jamu ya asali mbichi na mdalasini wa India usage vzr tengeneza jamu uwe unatumia kilasiku asubuh vijiko 2,au paka kwenye Mkate, chai yako tumia asali na mdarasin, jion pia ukishapata mlo piga vijiko 2 hrf lala, fanya hivyo iwe ndio tabia yako japo fululiza kwa mwez mmoja! Hii ni nzuri sanaaaa mzee wangu hata kwa mtu wa kimoja chalii au tako 2 inajenga Sana hisia na nguvu!
2. Tumia juice yenye mchanganyiko wa maziwa, karanga, tende, ndizi na asali vijiko2 na mayai 3 ya kienyeji kula hivyo asubuh au jion yaan fanya ndio mlo wa siku nzimaaa hrf fanya mazoez rahisi tuu Lkn yahusishe miguu, kiuno, tumbo, mikono hili pia ni hatari kukujenga kihisia na nguvu!
3. Kila siku asubuh tumia vijiko 2 cha chakula asali mbichi na jion baada ya mlo iwe ni kawaida yako! Hebu Anza na hayo kwanza harafu uje utoe mrejesho hapa
Ngoja nifanye hivyo nione
 
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.

Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote. Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.

Naomba ushauri wenu wakuu 🙏

Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.
Njoo nikudinye
 
Back
Top Bottom