Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

angalia stres mkuu, huenda ikawa stress zinakusumbua ...kuna wakati stress za kazi hunikata mzuka hata mwezi sishiriki ngono maana hamu hakuna....
Kabla sajaanza kujamiiana huwa ninapata hamu shida unakuja Pala ninapomwaga manii ninakuwa sipati raha yaani siuoni impact ya ya kujamiiana kote zaidi ya kumridhisha wife.
 
k
Kabla sajaanza kujamiiana huwa ninapata hamu shida unakuja Pala ninapomwaga manii ninakuwa sipati raha yaani siuoni impact ya ya kujamiiana kote zaidi ya kumridhisha wife.
kivyovyote vile mkuu, hilo ni tatizo la kisaikolojia... pole sana na litafutie tiba..🙏🙏
 
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli.

Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri hata nikamfurahisha mwenza wangu lakini nikifika wakati wa kumwaga sipati raha yoyote mpaka najiona mpumbavu kwa kutumia nguvu zangu bila faida yoyote. Ule msisimko niliokuwa naupata zamani haupo tena nifanyeje.

Naomba ushauri wenu wakuu 🙏

Cc: Dr am 4 real PhD, DR Mambo Jambo, Mshana Jr, Herbalist Dr MziziMkavu.
Punguza stress you will be ok..
 
Nilitaka nicomment kimasihara, ila kwa hili pole mkuu, punguza stress mchawi stress na hofu, jaribu mastailo mapya huenda unapiga ileile deilee...
 
Ulicholeta mleta mada nakuelewa, yaani ule utamu haupo au upo kidogo sana kulinganisha na enzi hizo umebalehe.

Sijui sababu ya hali ya kupotea kwa raha inasababishwa na nini?
 
Nilitaka nicomment kimasihara, ila kwa hili pole mkuu, punguza stress mchawi stress na hofu, jaribu mastailo mapya huenda unapiga ileile deilee...
Na perform vizuri ila pale ninapomwaga manii na kutopata msisimko ndiko kuninipa maswali mengi magumu yasiyo na majibu.

Ni kama uume una ganzi
 
Ulicholeta mleta mada nakuelewa, yaani ule utamu haupo au upo kidogo sana kulinganisha na enzi hizo umebalehe.

Sijui sababu ya hali ya kupotea kwa raha inasababishwa na nini?
Yeah umenena mkuu, ule utamu haupo kabisa ila kusex nasex bila shida.
 
Back
Top Bottom