Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Sijui nimepatwa na shida gani wakuu, sifurahii tendo la ndoa

Kuna vitu sio vya kufanya kama dose, kwa nini ufanye kitu kama unaona hau feel kufanya, hauna vitu unavyopenda kufanya au? Haina dawa dawa ni kufanya mambo mengine
 
Sasa ndio umeanza kua MTU mzima, Dalili ya kwamba Kwa Sasa unaona majukumu yanahitaji userious
 
Bora yako mkuu,mimi kimoja chali,mwenye dawa aniambie shukrani.
Hivi huwa mnataka kufanya mapenzi kama VIFARU?

Unataka kuunganisha mabao kwani wewe ni MANDONGA?

Kimoja kinatosha jamani, tuache wehu!
 
Kabla sajaanza kujamiiana huwa ninapata hamu shida unakuja Pala ninapomwaga manii ninakuwa sipati raha yaani siuoni impact ya ya kujamiiana kote zaidi ya kumridhisha wife.
Kumwaga unamwaga wewe ila anae ridhika ni wifey hii nayo ni kalii
 
Back
Top Bottom