Aisee.. hii sio poaMkuu, anza kuzalisha wanawake wengi uwezavyo ila hakikisha unawapima afya kwanza. Watoto wako watakuwa ni kumbukumbu yako na wao kwa chochote watakachoacha, ni kumbukumbu yako. Usikubali kumbukumbu ya baba yako na babu yako kwa upande wako ikomee kwako. Zalisha mkuu, hata rais wetu anasema hivyo.
daaahh umeongea ukweli mzito sanaYeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihani
AiseeeSikati tamaa kabisa na wala sioni wivu wala faida ya kukumbukwa.....kwangu mm kama mktisto siamini kwamba kukumbukwa na watu kwa matendo niliyoyatenda kutanifanya niwe mahala salama .....Kuna watu wametenda dhambi sana ila kwa siri sana japo wanakumbukwa kwa mazuri waliyoyafanya mbele za watu...watu was HV moto utawahusu tu hata wakikumbukwa na dunia nzima....Kukumbukwa hakuna faida yoyote kwa mkumbukwaji..tenda mema,sepa hapa na upishe wengine....
Shida yako si ni kukumbukwa tu ?Nalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..
Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..
Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Elimu sina NduguKua kwanza bwana mdogo.. Miaka 20 unatakiwa uwe chuo unasoma, kwa maana hata kazi una. Kwa nini uwaze hayo dogo?unataka jina libaki baada ya kufa... Chimba kisima ata kwa mkono, jenga njia, weka jina lako mtaani keen.
We si baba swalehee?utakumbukwa tuuJina lipi mkuu wangu
Sidhan mkuuWe si baba swalehee?utakumbukwa tuu
Usiwaze
Shukrani sana mkuudaaahh umeongea ukweli mzito sana
Wewe umefika university lakini wasema huna elimu, Mimi niliyeishia form four nisemeje mkuu?Elimu sina Ndugu
Nilikupa access ya kukutana nami ukapuuza. But ain't a big deal..Hahahaa Da'Vinci una Fix sana..