Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Mkuu, anza kuzalisha wanawake wengi uwezavyo ila hakikisha unawapima afya kwanza. Watoto wako watakuwa ni kumbukumbu yako na wao kwa chochote watakachoacha, ni kumbukumbu yako. Usikubali kumbukumbu ya baba yako na babu yako kwa upande wako ikomee kwako. Zalisha mkuu, hata rais wetu anasema hivyo.
Aisee.. hii sio poa
 
Yeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihani
daaahh umeongea ukweli mzito sana
 
Sikati tamaa kabisa na wala sioni wivu wala faida ya kukumbukwa.....kwangu mm kama mktisto siamini kwamba kukumbukwa na watu kwa matendo niliyoyatenda kutanifanya niwe mahala salama .....Kuna watu wametenda dhambi sana ila kwa siri sana japo wanakumbukwa kwa mazuri waliyoyafanya mbele za watu...watu was HV moto utawahusu tu hata wakikumbukwa na dunia nzima....Kukumbukwa hakuna faida yoyote kwa mkumbukwaji..tenda mema,sepa hapa na upishe wengine....
Aiseee
 
Nalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..

Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..

Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?
Shida yako si ni kukumbukwa tu ?

Tafta demu mtie mimba so akizaa jina lako litakumbukwa tu kupitia mtoto
 
Kua kwanza bwana mdogo.. Miaka 20 unatakiwa uwe chuo unasoma, kwa maana hata kazi una. Kwa nini uwaze hayo dogo?unataka jina libaki baada ya kufa... Chimba kisima ata kwa mkono, jenga njia, weka jina lako mtaani keen.
 
Kua kwanza bwana mdogo.. Miaka 20 unatakiwa uwe chuo unasoma, kwa maana hata kazi una. Kwa nini uwaze hayo dogo?unataka jina libaki baada ya kufa... Chimba kisima ata kwa mkono, jenga njia, weka jina lako mtaani keen.
Elimu sina Ndugu
 
Back
Top Bottom