Naamu mkuuKila binadamu ana vipawa na nguvu yake ya asili..hii inatupa purpose tofauti za maisha lakini kinachotuua ni kuamini kila mtu anaweza kuwa chochote anachokitaka, Huu ni uongo mkavu.. mtu ukijiangalia binafsi na kujua uwezo wako ni dhahiri utakuwa vile unavyostahili kuwa na si unavyotaka kuwa..hii huwa inapunguza stress na depressions zisizo na msingi
Very True.. Mara Pengine changamoto hukatisha saana tamaa mkuu..Yeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihani
Unalala masaa machache mengi unafanya kazi [emoji123]Hahahaa.. Hichi Kipaji Kinanifaidishaje?
Namkubali sana huyu soldier,Saint, Jesuit..Huyo Jamaa ukimjulisha na Ignatius of Loyola ni MarollModels wangu.. tatizo tumeishi Nyakati tofauti.. unadhani na Elimu yako Bwana Davinci ungezaliwa enzi za Nyerere si Ungekuwa Prime Minister Kabisa
Kuna msemo wa Kilatini unasema Creatio Ex Nihilo Yaani Creation from nothing.. inawezekanaje? Labda Davinci Mtu hana Mtaji wa Kutosha na anataka malengo yake Fulani yatimiee, na support hana.. afanye nini??Naamu mkuu
Kila binadamu katunukiwa kipawa chake, hakuna MTU anaweza kua vile anavyotaka Bali ni vile unatakiwa kua. Ila wewe binafsi ndio unaweza kufika pale unapotakiwa kua (You're a creator of your own destiny)
We are the captains of our own ships... lakini huwezi kuwa captain mzuri kama hujui what it takes to be a good captain, uisome bahari yako na ujue destination yako...Naamu mkuu
Kila binadamu katunukiwa kipawa chake, hakuna MTU anaweza kua vile anavyotaka Bali ni vile unatakiwa kua. Ila wewe binafsi ndio unaweza kufika pale unapotakiwa kua (You're a creator of your own destiny)
Aisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!Namkubali sana huyu soldier,Saint, Jesuit..
Sidhani mkuu sina back up tz hii
Kiongozi swami lako linanipeleka nifukunyue mambo ya B.management na Entrepreneurship. Sio kwamba tunatoka nje ya mada ..Kuna msemo wa Kilatini unasema Creatio Ex Nihilo Yaani Creation from nothing.. inawezekanaje? Labda Davinci Mtu hana Mtaji wa Kutosha na anataka malengo yake Fulani yatimiee, na support hana.. afanye nini??
Kinachotufanya tusiende mbele si ujuzi au ajira ni kuamua kufanya kitu, mfano kuna watu wanafanya kazi km fundi saidia baadaye anakuwa fundi ht hiyo Huwezi mkuu?Sina Ajira.. Sina ujuzi wowote..
Ni stress za maisha tu Na mfumo wa dunia ndio unatufanya watu tuishi nje ya vile tunavyotakiwa tuishi Bali tunaishi kutokana Na kundi la watu limeamua tuishi hivyo. Sio kosa lako kiongoziAisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!
Mkuu Kumbuka hauna Experience ya Kifo maybe theory ya Reincarnation itatokeaSioni faida nayopata kwa kukumbukwa huku mifupa yangu ikiwa ardhini...kwan nyerere tunavyomkumbuka anapata faida gani huko aliko!!!??!! Kwangu mm naona kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu,half dunia hii toka ianze wamepita watu weng sana lkn wanaokumbukwa hadi sasa n wachache tu so wengi tutapita ktk hii dunia bila kuacha kumbukumbu ya kudumu kwa hata vizaz vitatu mbele na hii hainiumiz mm maana pindi nikifa ,nikiwa kaburini sion faida yoyote ya kukumbukwa .....kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu ukidhani utapata shibe
Safi kabisa. Hapo ushapiga hata ya kujitambua wewe ni nan? Ongeza bidii ujitambue IPO wapi Na unafanya mini?We are the captains of our own ships... lakini huwezi kuwa captain mzuri kama hujui what it takes to be a good captain, uisome bahari yako na ujue destination yako...
Mimi siku hizi sina depression maana naangalia zaidi ni nini nachotakiwa kufanya kutoka na muda na uwezo nilionao huku nkiitazama big picture ambayo natakiwa kuifikia .. we have to start small tu
Mkuu kuna Mwana Jana alitoa Bonge la Uzi kuhusu namna ya Kudeal na Watu wako wa Karibu kama Marafiki ukitaka Kupiga Hatua.. sijui uliuona huo uzi?Ni stress za maisha tu Na mfumo wa dunia ndio unatufanya watu tuishi nje ya vile tunavyotakiwa tuishi Bali tunaishi kutokana Na kundi la watu limeamua tuishi hivyo. Sio kosa lako kiongozi
Bhasi ulichonacho huwa wanacho watu wengi ambao ni wabunifu na wenye upeo mkubwa wa kufikiria na kutengeneza imaginations nzuri... ubaya wa hawa watu kama introverted wakikutana na reality ya dunia hujihisi unyoge kutokana na uzani wa new energyAisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!
Huoni tamaa MTU anapokumbukwa kwa mazuri take huko! Kama unaaimini katika Rebirth au Reincarnation wa wanavyokuongea katika mazuri yako inajenga energy ambayo inakufanya kukupa points za kua mahali salama zaidiSioni faida nayopata kwa kukumbukwa huku mifupa yangu ikiwa ardhini...kwan nyerere tunavyomkumbuka anapata faida gani huko aliko!!!??!! Kwangu mm naona kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu,half dunia hii toka ianze wamepita watu weng sana lkn wanaokumbukwa hadi sasa n wachache tu so wengi tutapita ktk hii dunia bila kuacha kumbukumbu ya kudumu kwa hata vizaz vitatu mbele na hii hainiumiz mm maana pindi nikifa ,nikiwa kaburini sion faida yoyote ya kukumbukwa .....kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu ukidhani utapata shibe