Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Kila binadamu ana vipawa na nguvu yake ya asili..hii inatupa purpose tofauti za maisha lakini kinachotuua ni kuamini kila mtu anaweza kuwa chochote anachokitaka, Huu ni uongo mkavu.. mtu ukijiangalia binafsi na kujua uwezo wako ni dhahiri utakuwa vile unavyostahili kuwa na si unavyotaka kuwa..hii huwa inapunguza stress na depressions zisizo na msingi
Naamu mkuu
Kila binadamu katunukiwa kipawa chake, hakuna MTU anaweza kua vile anavyotaka Bali ni vile unatakiwa kua. Ila wewe binafsi ndio unaweza kufika pale unapotakiwa kua (You're a creator of your own destiny)
 
Yeap hiyo energy ndo inatakiwa kuishi ingawa maisha tu sometimes yanakatisha tamaa na kama hauna mazingira yailiyo supportive hasa kwa familia na marafiki...hii energy kuifanya iishi huwa ni mtihani
Very True.. Mara Pengine changamoto hukatisha saana tamaa mkuu..
 
Naamu mkuu
Kila binadamu katunukiwa kipawa chake, hakuna MTU anaweza kua vile anavyotaka Bali ni vile unatakiwa kua. Ila wewe binafsi ndio unaweza kufika pale unapotakiwa kua (You're a creator of your own destiny)
Kuna msemo wa Kilatini unasema Creatio Ex Nihilo Yaani Creation from nothing.. inawezekanaje? Labda Davinci Mtu hana Mtaji wa Kutosha na anataka malengo yake Fulani yatimiee, na support hana.. afanye nini??
 
We are the captains of our own ships... lakini huwezi kuwa captain mzuri kama hujui what it takes to be a good captain, uisome bahari yako na ujue destination yako...
Mimi siku hizi sina depression maana naangalia zaidi ni nini nachotakiwa kufanya kutoka na muda na uwezo nilionao huku nkiitazama big picture ambayo natakiwa kuifikia .. we have to start small tu
 
Namkubali sana huyu soldier,Saint, Jesuit..
Sidhani mkuu sina back up tz hii
Aisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!
 
Kuna msemo wa Kilatini unasema Creatio Ex Nihilo Yaani Creation from nothing.. inawezekanaje? Labda Davinci Mtu hana Mtaji wa Kutosha na anataka malengo yake Fulani yatimiee, na support hana.. afanye nini??
Kiongozi swami lako linanipeleka nifukunyue mambo ya B.management na Entrepreneurship. Sio kwamba tunatoka nje ya mada ..
 
Sioni faida nayopata kwa kukumbukwa huku mifupa yangu ikiwa ardhini...kwan nyerere tunavyomkumbuka anapata faida gani huko aliko!!!??!! Kwangu mm naona kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu,half dunia hii toka ianze wamepita watu weng sana lkn wanaokumbukwa hadi sasa n wachache tu so wengi tutapita ktk hii dunia bila kuacha kumbukumbu ya kudumu kwa hata vizaz vitatu mbele na hii hainiumiz mm maana pindi nikifa ,nikiwa kaburini sion faida yoyote ya kukumbukwa .....kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu ukidhani utapata shibe
 
Aisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!
Ni stress za maisha tu Na mfumo wa dunia ndio unatufanya watu tuishi nje ya vile tunavyotakiwa tuishi Bali tunaishi kutokana Na kundi la watu limeamua tuishi hivyo. Sio kosa lako kiongozi
 
Mkuu Kumbuka hauna Experience ya Kifo maybe theory ya Reincarnation itatokea
 
We are the captains of our own ships... lakini huwezi kuwa captain mzuri kama hujui what it takes to be a good captain, uisome bahari yako na ujue destination yako...
Mimi siku hizi sina depression maana naangalia zaidi ni nini nachotakiwa kufanya kutoka na muda na uwezo nilionao huku nkiitazama big picture ambayo natakiwa kuifikia .. we have to start small tu
Safi kabisa. Hapo ushapiga hata ya kujitambua wewe ni nan? Ongeza bidii ujitambue IPO wapi Na unafanya mini?
 
Kinachotufanya tusiende mbele si ujuzi au ajira ni kuamua kufanya kitu, mfano kuna watu wanafanya kazi km fundi saidia baadaye anakuwa fundi ht hiyo Huwezi mkuu?
Mkuu hapa nimeona idea Productive.. Nzurii Hii Boss
 
Ni stress za maisha tu Na mfumo wa dunia ndio unatufanya watu tuishi nje ya vile tunavyotakiwa tuishi Bali tunaishi kutokana Na kundi la watu limeamua tuishi hivyo. Sio kosa lako kiongozi
Mkuu kuna Mwana Jana alitoa Bonge la Uzi kuhusu namna ya Kudeal na Watu wako wa Karibu kama Marafiki ukitaka Kupiga Hatua.. sijui uliuona huo uzi?
 
Aisee kuna Bonge la Kazi.. Kila Mara huwa inapofika usiku.. ule Muda naona kumetulia.. ule muda hakuna Movement ya kitu chochote ndo ninapojiona True Me.. mimi yule mwenye uwezo Niliopewa na Mungu.. ila asubuhi ikifika kila kitu kinavapor inakuwa ilikuwa kama Ndoto!
Bhasi ulichonacho huwa wanacho watu wengi ambao ni wabunifu na wenye upeo mkubwa wa kufikiria na kutengeneza imaginations nzuri... ubaya wa hawa watu kama introverted wakikutana na reality ya dunia hujihisi unyoge kutokana na uzani wa new energy

Kuna sehemu nilihudhuria na mtasha mmoja akasema ,too much innovation is not healthy for a start up or even a small business.. Thinking of it nikaona ni kweli maana innovations huchelewesha na humkatisha mtu tamaa.. anza na kitu kilichopo na ukiendeleze kufit imaginations zako...

Don wait for the rain to pass..dance in the rain bro
 
Sioni faida nayopata kwa kukumbukwa huku mifupa yangu ikiwa ardhini...kwan nyerere tunavyomkumbuka anapata faida gani huko aliko!!!??!! Kwangu mm naona kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu,half dunia hii toka ianze wamepita watu weng sana lkn wanaokumbukwa hadi sasa n wachache tu so wengi tutapita ktk hii dunia bila kuacha kumbukumbu ya kudumu kwa hata vizaz vitatu mbele na hii hainiumiz mm maana pindi nikifa ,nikiwa kaburini sion faida yoyote ya kukumbukwa .....kuhangaika ili ukumbukwe n kujilisha upepo tu ukidhani utapata shibe
Huoni tamaa MTU anapokumbukwa kwa mazuri take huko! Kama unaaimini katika Rebirth au Reincarnation wa wanavyokuongea katika mazuri yako inajenga energy ambayo inakufanya kukupa points za kua mahali salama zaidi
 
Back
Top Bottom