Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Naamu mkuuKila binadamu ana vipawa na nguvu yake ya asili..hii inatupa purpose tofauti za maisha lakini kinachotuua ni kuamini kila mtu anaweza kuwa chochote anachokitaka, Huu ni uongo mkavu.. mtu ukijiangalia binafsi na kujua uwezo wako ni dhahiri utakuwa vile unavyostahili kuwa na si unavyotaka kuwa..hii huwa inapunguza stress na depressions zisizo na msingi
Kila binadamu katunukiwa kipawa chake, hakuna MTU anaweza kua vile anavyotaka Bali ni vile unatakiwa kua. Ila wewe binafsi ndio unaweza kufika pale unapotakiwa kua (You're a creator of your own destiny)