Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Wafilipi 4: 4-7
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5 Upole wenu ufahamike kwa watu wote. Bwana anakaribia kuja. 6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushu kuru 7 Na amani ya Mungu, ambayo inapita ufahamu wote, italinda mioyo yenu na nia zenu kwa Kristo Yesu.

Hii ndiyo siri ya furaha na amani kwangu.
Na Mungu hajawahi kuniangusha japo hanipi ninachotaka ila najua ananipa ninachostahili.
 
Oooh ahsante kwa kuweka kifungu kabisa!
Shida watu hatufahamj jinsi ya kutengeneza inner peace tu.
 
Guys maandiko yangu yana errors hatareee hadi yanatia kinyaa kusoma.
Why?
Simu nayotumia mbovu mnoo kiochote hakuna hali. Nivumilieni, ni umaskini tu yatapita..
Ukiwa na furaha furahiiii maana furaha haitodumu milele.
Ukiwa na huzuni /hali ngumu/ kufilisika usikate tamaa maana pia hiyo hali haitadumu milele.
Umekumbuka nini?????????
 
Ukiwa na furaha furahiiii maana furaha haitodumu kamwe.
Ukiwa na huzuni /hali ngumu/ kufilisika usikate tamaa maana pia hiyo hali haitadumu kamwe.
Umekumbuka nini?????????
Nimekumbuka maneno yako uliyosema. Hakuna kinachodumu daima, yote yanapita. Huzunii itakutesa lakini mwisho utaenda kwenye furaha. Napia huwez kua Na furaha muda wote. That's is why I miss you
 
Nimekumbuka maneno yako uliyosema. Hakuna kinachodumu daima, yote yanapita. Huzunii itakutesa lakini mwisho utaenda kwenye furaha. Napia huwez kua Na furaha muda wote. That's is why I miss you
Nisaidie kumtag mtoa mada aone alama na mambo mtu anayopaswa kukumbukwa nayo..
Asante sana hatimaye na Mimi nimeacha alama.
 
Una miaka 20 unalalaika duh pole sana,ukifikisha 40 itakuaje? Ngoja nikupe akil za usiku,nenda congo kanunue uchawi,hapo mtaani kwenu uwaadhubu mpk wakuogope halaf utakapokufa tutabak kusema jamaa alikua hatari sana,akikunyooshea kidole unakufa.. Nadhan utakua umeacha kitu
 
Bro hilo sio lengo la wewe kuwepo hapa duniani.

Nijuavyo mimi wengi walio acha athari haikuwa lengo lao ni kuacha athari. Huwa inatokea tu.

Sisi huwa tunakatazwa kusoma ili tuwe wakubwa duniani au tuwe wanachuoni tajwa hapa duniani kwani ukifanya hivyo utakuwa unajidhulumu mwenyewe.

Nakupa ziada,athari ya jambo kubakia ni mpaka Mola apende kwa sisi tunao amini dini na uwepo wa Mola. Hapa kuna mifano mingi wako wengi waliofanya makubwa lakini athari yao haionekani bali hata vinywani mwa watu hawatajwi.

Waswahili wanasema "Tena wema uende zako".
 
"We should remember that saying 'I love you' is only a beginning. We need to say it, we need to mean it, and most importantly we need consistently to show it. We need to both express and demonstrate love."
I love you too.!!!
Vinci hana mengi ya kukupa ila anakuahida kukupa hivi vitu..
  • Kukupenda.
  • Kukuheshimu
  • Kukusikiliza
Vichache tu hivyo ndo nilivyonavyo kwako
 
Kaka mkubwa hayo mawili ya juu katika matatu uliyoyataja napingana sababu miti hufa halikadhalika vizazi vina ukomo.

Ila elimu hubakia na kilicho andikwa kimeandikwa. Ila hapa pia katika kuandika vitabu sio kila kitabu kitabaki,wangapi wamendika vitabu na vikapotea ?
 
Nadhani sasa ni Muda wa sisi Vijana kupeana mawazo chanya.. tunaweza kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…