Wafilipi 4: 4-7Ndio. Kua Na furaha ndio maisha yatakua yenye thamani kwako. Huwez Fanya kitu kama huna furaha ndio maana mtume Paulo alisisitiza mno kwenye nyaraka zake kua FURAHINI, NARUDIA FURAHINI KATIKA BWANA coz ukiwa Na furaha utaweza Fanya mambo inavyotakiwa.
Huwezi Fanya Kazi kama huna furaha, huwezi abudu bila kua Na furaha.
HIV inaua coz MTU ajakua hana furaha, kutoka Na furaha kunamletea msongo, msongo unaleta magonjwa lundooo. FURAHINI .
He wewe furaha Na amani unaipata vipi!?
4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5 Upole wenu ufahamike kwa watu wote. Bwana anakaribia kuja. 6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushu kuru 7 Na amani ya Mungu, ambayo inapita ufahamu wote, italinda mioyo yenu na nia zenu kwa Kristo Yesu.
Hii ndiyo siri ya furaha na amani kwangu.
Na Mungu hajawahi kuniangusha japo hanipi ninachotaka ila najua ananipa ninachostahili.