Sijui nitamsaidiaje huyu rafiki yangu, uume wake haufanyi kazi kabisa

Kati ya watu wote waliotoa maoni yao, hakika we ni chizi kweli, tena lijinga kabisa. Mi nitakaa kufutilia Mme mwenzangu kama inafanya kazi au LA!! Amekuwa mke wangu huyo. Masuala kama hayo ni siri ya mtu mwenyewe. Alafu soma maelezo vizuri sio unakurupuka tu kukomenti. Kubwa jinga wewe.
Ndio mana nikakwambia wewe mwenyewe ndio dushe mduuu,unaona ulivyo mkari,kama kweli unataka tiba ya jamaa yako lugha mbovu za nini,na nimekwambia aje mwenyewe mjengoni,

Ndio mana nikakwambia huku kwa wakubwa usilete uzi wa kijinga watakun,gamua.

Lakini usijali tutakutumia kama simu zilizofungiwa sasa ivi zipo kama calculator ,ata wewe usijali mana huna nia kama dushe alipandi kuna matumizi mengine tutakutumia na unafaa shaka ya nini.
 
We ujielewi ngoja nikuache tu.
 
We ujielewi ngoja nikuache tu.
Angalia kwanza jina lenyewe nalo itwa,mana yake mzigo wangu safi kazi kwako wewe unaeficha tatizo,alafu nikuelimishe ukileta uzi humu wewe nikusikiliza tu ushauli utakaopewa sio ulete majibu yasiofaa,nakuomba uwe mpole kama ulivvo amua.
 
Mwambie anitetex nijaribu kumsaidia japo ngumu kwa aliezaliwa nalo maana mimi ni bingwa wa kutibu nguvu za kiume kwa matunda tu bila kemikali yoyote ile 0712505049
 
Kati ya watu wote waliotoa maoni yao, hakika we ni chizi kweli, tena lijinga kabisa. Mi nitakaa kufutilia Mme mwenzangu kama inafanya kazi au LA!! Amekuwa mke wangu huyo. Masuala kama hayo ni siri ya mtu mwenyewe. Alafu soma maelezo vizuri sio unakurupuka tu kukomenti. Kubwa jinga wewe.
Mu-ignore tu bro. Huna haja ya kupoteza muda na watu wasio na hekima
 
Mwalimu mkuu Yesu kristo aliwahi kusema maneno haya huko wilaya ya Yudea ng'ambo ya mto jordan yapata miaka 2,000 iliyopita "maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: wengine wamezaliwa hivyo,wengine kwasababu wamefanywa hivyo na watu,na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni.Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee"--mathayo 19:12
 
Ujue mara nyingi wazazi wetu wanashindwa kabisa kufuatilia nyendo za mtoto, cha kushangaza wazazi wake wote wawili hawajui, sasa wanamlazisha kuoa lakini anawambia bado. Alikuwa anafanya tiba kwa siri sana huko kwa waganga lkn naona imeshindikana ameona aseme wazi. Inauma sana

Masikini!
Mbona mtt akiwa na 2yrs asubuhi unaona kabisa km ni mzima?huyo mama ake vipi!
.au alizaliwa vzr ,baadae ndo akaharibikiwa?.
.lkn Yesu anaweza yote !
 
wanaume wa dar bado ni tatizo.km ni ww sema usaidiwe maana hakuna kinachoshindikana mbele ya muumba.

pili hilo sio tatizo la nguvu ya kiume.ni tatizo la kutokusimama basi au mbwa kutokubweka.

tatu km kazaliwa hivyo ujue nikama ulemavu wa mtu hana miguu au hana macho unairudisha vipi??hapo tunarudi ktk kusali sana na imani yke itamponya

nne muda wote huo alikuwa wapi anaficha tatizo km hilo na kujitibu mwenyewe miaka 29 mingi sana.

kitu cha cha kawaida cha kujiuliza hivi miaka 29 kitu kimesizi kije leo kiwake??hii ngumeza asee kw akil ya kibinadam.

#anyway maombi yanahusika sana hapo

huo mjibwa dar ndo maan serikali imeamua kuhama sio mahali pazr.haha (jokes)
 
Nina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo kimoja mimi na yeye lakini kozi tofauti. Lakini bado tulikuwa karibu sana tukisaidia.Mpaka tunamaliza chuo.

Lakini kuna jambo moja alikuwa ananificha kwa kipindi kirefu bila kuniambia, lakini kwa tabia yake sikuwah ikujua kabisa kama huyu rafiki yang dudu yake haifanyi kazi. Alikuwa karibu na wasichana sana na alipendwa na kila msichana kwa ucheshi wake, utanashati na vituko. Nilijua jamaa yangu huyu ni kicheche kweli.

Siku zimeenda baada ya kuhitimu Mungu alijalia tulipata kazi wote hapa Dar, lakini sector tofauti, yeye akaenda kupanga Mwenge na mimi nikapanga zangu Mbagala mji wa kijanja. Mi nikavuta jiko fasta maana wakati nikiwa chuo nilimpa mwanachuo mwenzangu mimba ndie niliyemchukua na kumuweka ndani na harusi ilifanyika na shega alikuwa rafiki yangu.

Sasa siku zikawa zinakwenda sioni shemeji yangu kila nikimuuliza anasema muda bado. Lakini akija kwangu akitazama mwanangu machozi yanamtoka. Nikawa najiuliza kwanini huyu rafiki akimuona mwanangu analia? Kuna siku nikamuuliza sababu nini?

Alichonijibu akaniambia moyo wa mtu kichaka. Ila ipo siku atanimbia. Muda mwingine alikuwa na mawazo sana, nikawa nashindwa kumwelewa jamaa kama maisha anayo mazuri, gari ya kutembelea anayo na hana familia ya kumusumbua sasa tatizo ni nini?

Leo kaja kwangu asubuhi, akanambia rafiki kuna jambo nataka nikwambia. Akaanza kunipa stori, alianza kusema huku analia, akasema toka amezaliwa mpaka leo miaka 29 hajawahi kulala na mwanamke yani dudu yake haifanyi kazi kabisa. Nilisikitika sana nakulia sikujua nianzie wapi kumshauri. Nilichomwambia anipe muda nitafakari nini cha kumsaidia rafiki yangu kipenzi.

Nimetafakari wee nikaona nije kwa wana JF hawakosi ushauri.

Jamii forums Ni Hospital? Au kanisani kwa maombezi?
 
Haufanyi kazi kabisa? Sasa kukojoa anakojolea nini?
 
Naamina hilo tatizo linatibika. Cha msingi aonane na matabibu.. Kwa kua vijisenti anavyo basi haina shida kila kitu kitakua fne...
 
It can medically corrected, don't try waganga wakienyeji, ni issue mishipa au muscles.
 
Nina rafiki yangu kipenzi tumetoka nae mbali sana siri zangu zake. Tunaisha pamoja kama ndugu sasa. Tulikutana Alevel huko Moshi na ndipo urafiki wetu ulipoanzia, bahati nzuri tulichaguliwa chuo kimoja mimi na yeye lakini kozi tofauti. Lakini bado tulikuwa karibu sana tukisaidia.Mpaka tunamaliza chuo.

Lakini kuna jambo moja alikuwa ananificha kwa kipindi kirefu bila kuniambia, lakini kwa tabia yake sikuwah ikujua kabisa kama huyu rafiki yang dudu yake haifanyi kazi. Alikuwa karibu na wasichana sana na alipendwa na kila msichana kwa ucheshi wake, utanashati na vituko. Nilijua jamaa yangu huyu ni kicheche kweli.

Siku zimeenda baada ya kuhitimu Mungu alijalia tulipata kazi wote hapa Dar, lakini sector tofauti, yeye akaenda kupanga Mwenge na mimi nikapanga zangu Mbagala mji wa kijanja. Mi nikavuta jiko fasta maana wakati nikiwa chuo nilimpa mwanachuo mwenzangu mimba ndie niliyemchukua na kumuweka ndani na harusi ilifanyika na shega alikuwa rafiki yangu.

Sasa siku zikawa zinakwenda sioni shemeji yangu kila nikimuuliza anasema muda bado. Lakini akija kwangu akitazama mwanangu machozi yanamtoka. Nikawa najiuliza kwanini huyu rafiki akimuona mwanangu analia? Kuna siku nikamuuliza sababu nini?

Alichonijibu akaniambia moyo wa mtu kichaka. Ila ipo siku atanimbia. Muda mwingine alikuwa na mawazo sana, nikawa nashindwa kumwelewa jamaa kama maisha anayo mazuri, gari ya kutembelea anayo na hana familia ya kumusumbua sasa tatizo ni nini?

Leo kaja kwangu asubuhi, akanambia rafiki kuna jambo nataka nikwambia. Akaanza kunipa stori, alianza kusema huku analia, akasema toka amezaliwa mpaka leo miaka 29 hajawahi kulala na mwanamke yani dudu yake haifanyi kazi kabisa. Nilisikitika sana nakulia sikujua nianzie wapi kumshauri. Nilichomwambia anipe muda nitafakari nini cha kumsaidia rafiki yangu kipenzi.

Nimetafakari wee nikaona nije kwa wana JF hawakosi ushauri.
Ikiwa ni wewe Siasa Basi mwenyewe ukiri kwa Muumba wako na kuomba msaada atatenda maajabu kwako kama alifanya kwa wengine waliombewa na watumishi wa Mungu siyo viongozi wa dini na mitume au manabii uchwara waliozagaa nchini leo!
 
Back
Top Bottom