Sijui sababu ya hii hali

Sijui sababu ya hii hali

Nimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san

Inaweza ikawa nini?
Kuna jambo lisilo haki unalifanya? Acha mara moja.
Ulidhulumu? Rudisha kwa mwenye nacho
Ulimkosea mtu? Muombe radhi
Unatarajia kufanya jambo fulani hivi karibuni? Sitisha

Omba kwa imani yako, amani kuu inatoka kwa Muumba wetu. Na zaidi jitakase uombe msamaha wa dhambi.
 
Sio kweli
 
Wapigie simu wapendwa wako na uwajulie hali na waliotangulia mbele ya haki watolee sadaka kwa masikini kama na wewe masikini basi karibisha mtu mle nae na ushukuru
 
Hakika kila nafsi inajijua.......

Icho kinachokujia na kujilaumu ndo tatizo......

Pata muda wa kurelax na fanya meditation
 
Kama Mkristo..

Omba Toba na rehema...

Omba kwa kumaanisha...

Hiyo hali itaisha...
 
Hakika kila nafsi inajijua.......

Icho kinachokujia na kujilaumu ndo tatizo......

Pata muda wa kurelax na fanya meditation
Kuna kitu natakiwa kukifanya hivi karibuni kwahiyo kuna chaguzi au majibu mawili moja kushindwa nyingine kushinda
 
Back
Top Bottom