Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jambo lisilo haki unalifanya? Acha mara moja.Nimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san
Inaweza ikawa nini?
Sio kweliKuna jambo lisilo haki unalifanya? Acha mara moja.
Ulidhulumu? Rudisha kwa mwenye nacho
Ulimkosea mtu? Muombe radhi
Unatarajia kufanya jambo fulani hivi karibuni? Sitisha
Omba kwa imani yako, amani kuu inatoka kwa Muumba wetu. Na zaidi jitakase uombe msamaha wa dhambi.
Huenda ukapokea bad newsNimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san
Inaweza ikawa nini?
Kuna kitu natakiwa kukifanya hivi karibuni kwahiyo kuna chaguzi au majibu mawili moja kushindwa nyingine kushindaHakika kila nafsi inajijua.......
Icho kinachokujia na kujilaumu ndo tatizo......
Pata muda wa kurelax na fanya meditation