Inategemea wameunganaje, Kama Mioyo yao ndio illiyoungana au organ nyingine yoyote kubwa ya mwili Kama figo, ini n. k hapo watatangulia wote mbele ya haki wote, ila Kama vilivyoungana ni mguu, mkono, sikio ataondoka mmoja tu hapo, ila atakayebakia hatakaa muda mrefu kwa mwili wake kuhisi kupungukiwa na kitu Fulani kwa kuondokewa na Mwenzake