Haaaa haaaa sijaelewaa kitu. Hivi Hashim Rungwe bado eeh?We nanihiii.... Umeona eee mi nikikuambia unipende hutaki, mala oooh mi mchawi, kwan si nimekuambia nitakupa uganga uniague, mala oooh nina kad ya uvccm, haya olewa na hashimu lungwe sasa.
Kwa Heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu.
Kwa Mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF.
Kwangu Mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake.
Mbali na kufahamiana na watu wengi ambao tumejenga undugu na ujamaa wa kufa na kupona
Pia JF imeniwezesha kukutana na my Soul mate.
Haikuwa kazi rahisi but nitakuwa mchoyo wa Fadhira nisiposhukuru Wote waliopata wazo la kuanzisha Love connect.( Mkombozi wa mioyo iliyovunjika)
Kwani kupitia JF imenifanya kurudisha furaha yangu iliyopotea.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa siamini watu kujenga uhusiano na ukadumu kwa njia ya mitandao.Lakini Mimi nashuhudia kwamba Inawezekana na tena mkaishi vizuri.
Nilichojifunza ni uvumilivu na kuwa na moyo wa subira
Majaribu yapo lakini ukiamini na kumuomba Mungu hata humu inawezekana ( I have met my eclipse of my heart)
Niliwai kuwa na mchumba wa kukutana uraiani alinitenda mabaya sana pamoja na kumvumilia mengi.
Zikiwa zimebaki siku chache aje kutoa posa kwetu, bila kujua nini hufanya..niliamua kumsuprise ...badala ya kumsuprise Surprise ilinikuta Mimi baada ya kumkuta amelala kitandani na mwanamke kwenye shuka nililofua Mimi Jana yake na wakala chakula nilichopika na baada ya kuchunguza haikuwa Mara 1.
Ilinivunja moyo na kunikatisha tamaa sana.( Wadada huwa tunaumia sana hasa muda unaopotea)
Sasa JF kukutanishwa na MTU huyu ambaye amenisahaulisha machungu mengi mengi.
Nina kila sababu ya kushukuru kwani na Mimi nimejiona wa Thamani.
Ewe mdada au mama uliyeumizwa usikate tamaa.Popote waweza pata mwenza na kufungua Ukurasa mpya.
Hakuna aliyezaliwa asononeke.
Fight, search, simamia unaloliamini MTU asikukatish
e tamaa Better late than Never
Aaahhhh tatizo keshaweka wazi *anakua kupika kidogo* yeye ni *kavivu*.Haaa haaaa itabidi umtafute akupikie utest chakula chake
Mdogo kweliDuuhhh tengua kauli kidogo "mdogo Wangu* itengue .
Wanawake wajanja wajanja niwabaya sana, kwanza mkizenguana ndo SIKU iyo nyumba nzima itajua....
Alafu ujanja na kua mpole nivitu viwili tofauti ..au Mimi ndo sijui kiswahili ???/
Kinyume cha mjanja ni mpole eeehhhh????? asante TIE.
Ngoja nikazipitie ujue sikuoni oniNdo nasikia kwako best
Mbona mada zangu nyingi ni za kike
Au IPO busy huzisonagi na ni nyingi kweli
Kuhusu kupendana hua kunakuja automatic bila nguvu ,mnaweza furahishana mkashangaa tu mmkazama dubwii,, mtu akinichukulia vyovyote naenda nae hivyo hivyoAaahhhh basi sawa ndo nmekuelewa sasa.
Una prefer aina gan ya mapenzi ???? Ya kufurahishana au Yale yakupendana kweli ???au litakalokuwepo poa ????.
kwani geto unapelekwa au unajipeleka mwenyeweBora tu maswala ya kupelekana nyumbani ndio mwanzo wa kuanza kupika,,sijui kudeki ,,bora hotelin tuachane huko huko
Kuwa kavivu tayari ni TATIZOMi ni kavivu ,,kumfanyia mtu hayo nae awe ananifanyia vitu vya kunifurahisha moyo sana ,,hivi hivi tu hapana
HaahhahahaAaahhhh tatizo keshaweka wazi *anakua kupika kidogo* yeye ni *kavivu*.
Sasa bahat mbaya napenda kula chakula kitamuuu yaaan mboga zikiungwa zinaungwa kweliiiiii ,mtoto anakaa jikon kuanzia saaa 12mpaka saa mbili mnakula !.
Mwenzako hawezi ,,,anakuambia kufua hawezi ,kupika hawezi ,,kudek hawezi ,,..nahisi Amefuga KuCHa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume akikupenda kakupenda tuUtakosa mchumba shauriroo[emoji14] [emoji14]
Aaahhhh basi iyo ndo sababu yakwann now days mahusiano hayalast km zaman ...nisababu ndogo sanaaa,, watu hawajui wanachokitafuta ktk mahusiano.Kuhusu kupendana hua kunakuja automatic bila nguvu ,mnaweza furahishana mkashangaa tu mmkazama dubwii,, mtu akinichukulia vyovyote naenda nae hivyo hivyo
Am sanaaa napenda kula ,ten kula chakula kitamu ...na ktk mahusiano chakwanza huwa naangalia je nayeye anapenda kula ????? Mtu anayepend kula ,,Jikon huwa anaingia sana .Haahhahaha
Unapenda kula nini?
Watu tushachoka kuwaweka watu mioyoni mwishoni unaumizwa tu,,Aaahhhh basi iyo ndo sababu yakwann now days mahusiano hayalast km zaman ...nisababu ndogo sanaaa,, watu hawajui wanachokitafuta ktk mahusiano.
Utasikia ,vyovyote atakavyotaka NAMM na kua ivoivo....yaaan upon ktk MAHUSIANO namwanamme haeleweki still umekaa tu ???? .duuh.
Sawaa,,unataka nikupikie nini?[emoji23]Am sanaaa napenda kula ,ten kula chakula kitamu ...na ktk mahusiano chakwanza huwa naangalia je nayeye anapenda kula ????? Mtu anayepend kula ,,Jikon huwa anaingia sana .
JamaniAaahhhh basi sawa ndo nmekuelewa sasa.
Una prefer aina gan ya mapenzi ???? Ya kufurahishana au Yale yakupendana kweli ???au litakalokuwepo poa ????.
Hata hapa nishachoka kutype[emoji23][emoji23]Kuwa kavivu tayari ni TATIZO
Wewe yaelekea umedekezwa.
Ungependa yeye akufanyie yapi ya kukufurahisha?
Bana ,,embu acha kua naiman iyo...haimanishi maumiv alokupa mtu ,,hamna mtu anayeweza kuja kuyaponya ...Watu tushachoka kuwaweka watu mioyoni mwishoni unaumizwa tu,,
Sawa.,nimekuelewaBana ,,embu acha kua naiman iyo...haimanishi maumiv alokupa mtu ,,hamna mtu anayeweza kuja kuyaponya ...
Ukiwa naiman iyo ,,atakuja mwanamme mwenye mapenzi naww ,,ilasababu unaiman mbaya ,,utamtreat vibaya ,,ataona hufai ,ataondoka.
Nikushauri ....UNAPOPENDA PENDA MTU KAM VILE HUJAWAHI KUTENDWA UKO NYUMA....
Usiwe mvivu hivyo mtoto mzuri...!Hata hapa nishachoka kutype[emoji23][emoji23]