Sijutii kuifahamu JamiiForums hasa Love Connect

Leo unazungumza mambo mazuri sana.kumbe huwa mnajitoa ufahamu tuu.


O
Anyway ,, maishan lazima tujifunze kupenda nakumjali mtu bila kutegemea utalipwa nn...maumiv huanza pale mtu unajaliiiiiii uku moyon ukitegemea atakulipa sawa naulichomfanyia.

.ndo utaishia kutoa laana lkn wapi mwenzako anadunda.
 
Umethibitisha kauli yangu humu ya siku nyingi kwamba humu watu wanaweza kabisa kupendana tena penzi zito kabisa. Hongera zenu na kila la heri kwenye penzi lenu. Si dhambi wala aibu na hakuna ubaya wowote kukutana mtandaoni na kupendana kwa dhati.
Helooooo .
You are my best friend for some time now ( You know me)
Some don't know .
Kati ya watu bora kabisa kutokea JF.....( Aksante kwa kunipa pongezi)
Niliwai kukuanzishia thread humu hope you remember..
BAK ni muungwana.
BAK mpaka ugombane naye wewe jiangalie twice .
Always you will be my brother
Very understanding .
Charming and you have that we humanity.
 
Kuhusu kupendana hua kunakuja automatic bila nguvu ,mnaweza furahishana mkashangaa tu mmkazama dubwii,, mtu akinichukulia vyovyote naenda nae hivyo hivyo
Hii kali
 
Sure siunaona hata Mimi umeshanivunja moyo ????.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . en you never know ,,Wenda tungetengeza chemistry moja amazing mpaka tukaja toa ushuhuda wandoa humuhumu.
Usivunjike moyo jomoni[emoji85][emoji85][emoji85]
Huwezi jua
 
Sasa unaonaje kaka Putini mkayajenga Pm? Na Mama Sabrina
Maana naona tayari mnaanza kuelekeana kila mmoja anaanza kujua strength na weaknesse za mwenzie na mnazirekebisha pia utapata na zawadi ya kuitwa Baba Sabrina Bure
 
Aksante kwa kunielewa Leo.
Nipo hivyo basi tu hujanisoma kiundani
 
Sure siunaona hata Mimi umeshanivunja moyo ????.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . en you never know ,,Wenda tungetengeza chemistry moja amazing mpaka tukaja toa ushuhuda wandoa humuhumu.
Leo nimekushikaaaa
Wewe si unapondaga online relationship au hapa wapiii
( Leo leoo))))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…