Sijutii kuoa Mdigo

Sijutii kuoa Mdigo

So, okay..!!
Aisee umeona umuumbe mwenzako
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Nilidhani utaelezea mafanikio mliyopata, kumbe unaelezea kukata viuno, daah aiseee.........hayo nayo ni madivelopumenti kumbe
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Ulipopewa yote ndio maendeleo?
Shubamiiti weww
 
So, okay..!!
Una kaufalla sana...nini sasa umemharibia hivi?🤣🤣🤣
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
[emoji23] Umelala yoooooo
 
So, okay..!!
Hahaaa!!
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Bado huja ingia kwenye Maumivu ya TOZO,
Na hiyo ITAKUTOKEA UTAKAPO KUWA MTU MZIMA,
ukaachana na EARLY MARRIAGE,

UKAONDOKA KWENYE KIWANJA CHA KWENU, UKA NUNUA KIWANJA UKAJENGA,
Na Baba yako AKIFA na Mama yako pia,.
UKAANZA KUJI HEMELEA CHAKULA,

Hapo utajua umeoa MDIGO? au umeoa MAGIGO??
IMG-20220904-WA0092.jpg
JamiiForums905681125.jpg
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Kwani wadigo wanapatikana wilaya gani huko Tanga
 
Dah usinikumbushe Kuna miaka nilikuwa nacho pale mjini tanga tulikua tukionana pale lodge karibia na gonga gonga tanga ahh bana lile uno dahh mungu ibariki jamii ya kidigo mnara wa uno Moja la kidigo ujengwe hata pale majani mapana
 
Aise acha kabisa inaelekea hawa wadigo wanajua kuwafunda watoto wao wa kike. Ngoja niende huko tena nikatafute mke. Vipi lakini jamani mambo ya ndumba hawana hawa watu?
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
Hawa wadigo wana viuno feni kwa kweli....mwanawane wee faidi mema ya dunia
 
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba.

Napewa mauno Kama yote, sitamani michepuko!
subiri tozo!
 
Back
Top Bottom