secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hiki ni niniNa vinywaji saafiView attachment 3672844
Cc Seran.Na vinywaji saafiView attachment 3672844
Yaliremba simu yangu nakuifanya kunukia manukato.Na yale mafuta uliyatoa kwanza au yaliishia kuiremba simu?
Katika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni mwako ewe mwana JF. Itakusaidia sana kwa maana dharura ziko nyingi sana.
Binafsi mwaka 2022 kondom ilinisadia sana. Ilisitiri simu yangu isiloe kwa maji ya mvua. Siku hiyo nilikuwa safarani (kwenye basi) ambapo nilipofika mwisho wa safari mvua kubwa ilikuwa inanyesha, ndipo nilipopata wazo la kuhifadhi simu yangu ya bei mbaya kwenye kondom ili isiingize maji.
Japo watu walinishangaa na kunicheka nilipokuwa naitumbukiza simu kunako ndomu, lakini Mimi sikujali, nilijisemea heri lawama kuliko fedheha. Na kweli nikiona chapachapa kutokana na mvua lakini simu yangu ilibaki salama salimini.
Kwa hivyo, katika msimu huu wa Super El Nino kosa vyote, lakini si kondom.
Nimemaliza!
Aione Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Kwa hiyo simu yako unaiweka kwenye hiki kofaa? 🤣
Kwa nini?Bora tu watuchome sindano wote tuwe mabroila 😣
Papi usinitag hayo matakataka🥲
Dogo The Icebreaker natumai umepokea ujumbe.Katika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni mwako ewe mwana JF. Itakusaidia sana kwa maana dharura ziko nyingi sana.
Binafsi mwaka 2022 kondom ilinisadia sana. Ilisitiri simu yangu isiloe kwa maji ya mvua. Siku hiyo nilikuwa safarani (kwenye basi) ambapo nilipofika mwisho wa safari mvua kubwa ilikuwa inanyesha, ndipo nilipopata wazo la kuhifadhi simu yangu ya bei mbaya kwenye kondom ili isiingize maji.
Japo watu walinishangaa na kunicheka nilipokuwa naitumbukiza simu kunako ndomu, lakini Mimi sikujali, nilijisemea heri lawama kuliko fedheha. Na kweli nikiona chapachapa kutokana na mvua lakini simu yangu ilibaki salama salimini.
Kwa hivyo, katika msimu huu wa Super El Nino kosa vyote, lakini si kondom.
Nimemaliza!
Aione Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Nisamehe ma watoto. Nilitaka tu uone jinsi picha za wanawake anazoweka zilivyo mbaya ukilinganisha na zako.Papi usinitag hayo matakataka🥲
A.K.A BUTTPLUG (ICE BREAKER)😁😁Dogo The Icebreaker natumai umepokea ujumbe.
Kabisaa papi 🚮Nisamehe ma watoto. Nilitaka tu uone jinsi picha za wanawake anazoweka zilivyo mbaya ukilinganisha na zako.
Jitayarisha na El Nino kaka. Linda simu yako dhidi ya maji.ila wabongo
Alaaniwe!Kabisaa papi 🚮