Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ngoja ajee🙌🏾Oya ww jamaa 😂
Ngoja ajee🙌🏾Oya ww jamaa 😂
Haya bebi.Heheheheeeiiyyyaa yangu macho tu papi
Vayolensi ni kubwa 😂Ngoja ajee🙌🏾
Yuko sehemu anatema moto kama dragon, kashajikoki akifika hapa ni maafa🤣Vayolensi ni kubwa 😂
Kwamba akifika hapa n kukoleza tuu moto, mana moto alishauwasha huko alipo? 😂Yuko sehemu anatema moto kama dragon, kashajikoki akifika hapa ni maafa🤣
Tafuta ile ya bure yenye harufu mbaya inayoitwa ZANA.Kampuni ipi bora mkuu ya kondomu inaweza linda simu yangu yenye kidoleee
Oyaa! Ni sawa na mlevi aliyewaka ukitia kibiriti tu boom 💥Kwamba akifika hapa n kukoleza tuu moto, mana moto alishauwasha huko alipo? 😂
Hahhahaahh sawa mkuuTafuta ile ya bure yenye harufu mbaya inayoitwa ZANA.
Ziko nyingi hospitalini, vyuoni, kwenye kambi za wakimbuzi na kadhalika.
HONGERA MKUUKatika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni mwako ewe mwana JF. Itakusaidia sana kwa maana dharura ziko nyingi sana.
Binafsi mwaka 2022 kondom ilinisadia sana. Ilisitiri simu yangu isiloe kwa maji ya mvua. Siku hiyo nilikuwa safarani (kwenye basi) ambapo nilipofika mwisho wa safari mvua kubwa ilikuwa inanyesha, ndipo nilipopata wazo la kuhifadhi simu yangu ya bei mbaya kwenye kondom ili isiingize maji.
Japo watu walinishangaa na kunicheka nilipokuwa naitumbukiza simu kunako ndomu, lakini Mimi sikujali, nilijisemea heri lawama kuliko fedheha. Na kweli nililoana chapachapa kutokana na mvua lakini simu yangu ilibaki salama salimini.
Kwa hivyo, katika msimu huu wa Super El Nino kosa vyote, lakini si kondom.
Nimemaliza!
Aione Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Hahaha hii ndyo main pointKatika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni
Asante sana mkuu.HONGERA MKUU
Bro The Icebreaker kuna kaujumbe kako cha kuchangamsha huku 😎A.K.A BUTTPLUG (ICE BREAKER)😁😁
OkJitayarisha na El Nino kaka. Linda simu yako dhidi ya maji.
kwahiyo ushawaka waka😀Hizo tuu zinatosha kukamilisha zoezi 😎
Mapema tuu 😎kwahiyo ushawaka waka😀