secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #21
Ongea na 'John sin' 😂DEMU YOYOTE JF MWENYE MAKEBO MAKUBWA ANICHECK PM, BARIDI KALI AISEE
Ongea na 'John sin' 😂DEMU YOYOTE JF MWENYE MAKEBO MAKUBWA ANICHECK PM, BARIDI KALI AISEE
Haya papi twende kule ukamuone kijana kashindwa kulipa wifi kaja kulalamikia jfAlaaniwe!
Huu uzi utafikisha saa nne na nusu kweli😁Ongea na 'John sin' 😂
Hebu nitag mama.Haya papi twende kule ukamuone kijana kashindwa kulipa wifi kaja kulalamikia jf
Why?Huu uzi utafikisha saa nne na nusu kweli😁
andika jina lake umsaidie Mbaga Jr kumsechi
Ukimaliza huu kuna kijana wako mwingine anaomba elfu 50 akaanze kufuga vifaranga 10 mambo yamekaza😬Hebu nitag mama.
Izo chata mnazozitag hmm!Why?
MarrrrrraaaanguDogo The Icebreaker natumai umepokea ujumbe.
Nilijua huu Uzi ni wa ndege mdinya 😂Katika msimu huu wa mvua kubwa wala usikose kondom mfukoni mwako ewe mwana JF. Itakusaidia sana kwa maana dharura ziko nyingi sana.
Binafsi mwaka 2022 kondom ilinisadia sana. Ilisitiri simu yangu isiloe kwa maji ya mvua. Siku hiyo nilikuwa safarani (kwenye basi) ambapo nilipofika mwisho wa safari mvua kubwa ilikuwa inanyesha, ndipo nilipopata wazo la kuhifadhi simu yangu ya bei mbaya kwenye kondom ili isiingize maji.
Japo watu walinishangaa na kunicheka nilipokuwa naitumbukiza simu kunako ndomu, lakini Mimi sikujali, nilijisemea heri lawama kuliko fedheha. Na kweli nililoana chapachapa kutokana na mvua lakini simu yangu ilibaki salama salimini.
Kwa hivyo, katika msimu huu wa Super El Nino kosa vyote, lakini si kondom.
Nimemaliza!
Aione Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
Nitag bebi.Ukimaliza huu kuna kijana wako mwingine anaomba elfu 50 akaanze kufuga vifaranga 10 mambo yamekaza😬
Zipi hizo 😅Izo chata mnazozitag hmm!
Linda simu yako Kwa wivu mkubwa aisee!Nilijua huu Uzi ni wa ndege mdinya 😂
Kama ndio hivi acha tu iwe hivyoKwa nini?
Hizo za kina makebo sijui john sinaZipi hizo 😅
Nitaua mtu! Asiyejipenda afute sredi hii yenye manufaa kwa wanajukwaa wote.Hizo za kina makebo sijui john sina
Dah,nilipokuwa naitumbukiza simu kunako ndomu,
Heheheheeeiiyyyaa yangu macho tu papiNitaua mtu! Asiyejipenda afute sredi hii yenye manufaa kwa wanajukwaa wote.
Mkuu ndomu ina matumizi mengi, Mimi nimejikita kwenye Moja kati ya matumizi hayo mkuu.Dah,
Nikajua kwa ajili ya 3some, 4some..
Kumbe simu??
Oya ww jamaa 😂A.K.A BUTTPLUG (ICE BREAKER)😁😁