Sikieni nyinyi manabii na mitume wauongo, nendeni mkatoe wagonjwa ma-wodini waingie road, tutawaamini

Sikieni nyinyi manabii na mitume wauongo, nendeni mkatoe wagonjwa ma-wodini waingie road, tutawaamini

Sio manabii wa uongo tu.

Catholic, kkkt, anglican, waislamu zote hizo ni dini za utapeli maana wanaemuabudu ni fictional character

Mungu mwenyewe anaeabudiwa hayupo na hajawai kuwepo.

Hivyo usiwaseme manabiii peke yao. Huku waroma na walutheri nao wanakusanya sadaka za waumini wao
Andika uzi wako, hiyo ni mada nyingine
 
Uponyaji unaponya kwa Imani kama hauna Imani utaponaje sasa,hata kwa mganga uponi bila imani
jiratibu mkuu, kwamba ukiwa na malaria, usipoaamini chloroquine ukaimeza hautapona? Kwamba dawa haifanyi kazi mpaka uamini?

Kwa hivyo, ukitaka kujiua lazima uiamini sumu kwamba itakuua? EMBU ACHA UJINGA
 
Nimejaribu kuangalia kwenye Biblia na Qur'an, although I was rushing ila sijaona utabiri wa mitume na manabiI wengine zaidi ya hao waliopita.
Kama Kuna mtu ana maandiko ya ubashiri wa ujio wa manabii na mitume hawa wa sasa tafadhari tujuzane.
 
Nimejaribu kuangalia kwenye Biblia na Qur'an, although I was rushing ila sijaona utabiri wa mitume na manabiI wengine zaidi ya hao waliopita.
Kama Kuna mtu ana maandiko ya ubashiri wa ujio wa manabii hawa wa sasa tafadhari tujuzane.
Ndivyo wanavyojiita, hakika siyo mitume wala manabii, ni waganga njaa tu
 
Ni tafsiri tu hata ulaya ipo hii sembuse Africa.
Mambo ya imani hayaendi kwa scientific test.
Imani ni ishu za mawimbi yenye nishati itendayo kazi ndani yake
Watu wote wanao udhuria mikusanyiko chechefu kama hiyo wawe wanapewa vidonge vya kupunguza ukichaa, serikali inatakiwa iweke mobile clinics, wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana
 
Wagonjwa wakafate Tiba kwa Imani zao. Last time niliona kwenye doctrine Kuna watu walimpitisha mgonjwa wao kwenye dari ili asogelee Uponyaji, Au maji yakitibuliwa kila mtu ajisogeze birikani. .
Hizo ni parables za kwenye maandiko. Anyway kwa hao uliowaaddress sasa Mtumishi wa kweli mwenye Uchaji ni yule ambaye haruhusu Jina/Kanisa/Huduma lake liwe Kubwa kuliko Jina la Mwenyezi Mungu
#Church girl
 
Watu wote wanao udhuria mikusanyiko chechefu kama hiyo wawe wanapewa vidonge vya kupunguza ukichaa, serikali inatakiwa iweke mobile clinics, wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana
Kwan wanatofauti gani na wanaoenda jazana taifa eti wanaangalia mpira au kujazana kwenye siasa wanadanganywa na wanasiasa
 
Wagonjwa wakafate Tiba kwa Imani zao. Last time niliona kwenye doctrine Kuna watu walimpitisha mgonjwa wao kwenye dari ili asogelee Uponyaji, Au maji yakitibuliwa kila mtu ajisogeze birikani. .
Hizo ni parables za kwenye maandiko. Anyway kwa hao uliowaaddress sasa Mtumishi wa kweli mwenye Uchaji ni yule ambaye haruhusu Jina/Kanisa/Huduma lake liwe Kubwa kuliko Jina la Mwenyezi Mungu
#Church girl
Unapaswa kuanza dozi haraka sana
 
Back
Top Bottom