Sikieni nyinyi manabii na mitume wauongo, nendeni mkatoe wagonjwa ma-wodini waingie road, tutawaamini

Kwa hasira kuu, bila salamu

Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosho, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu

Ieleweke kwamba:

1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima.

2. Pia hela zina njia zake, una weka hela ili upate hela, cheza bahati na sibu, au kamari au any other consideration, including consideration ya vitu haramu

Hivyo basi, waende Muhimbili au Ocean Road Hospitals, wakawaombee wagonjwa, wote watoke ma-wodini waingie road, hapo tutawaamini

Hela haziwezi kutokea kwa kubeba mchanga au kupaka mafuta au kumwagiwa maji au kuombewa, au kupigiwa ramli, hivyo vyote ni ushirikina

HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU
Mkuu siku zote mgonjwa ndo anamfuata mganga, sio mganga amfuate mgonjwa
 
Kwa hivyo wametumwa na Mungu kufungua ma-goli wasubiri wagonjwa? Ndivyo Mungu anavyo fanya kazi hivyo?
 
Kwamba Mungu ndio anavyofanya kazi kwa kufungua magoli sijui hilo, hebu waza kama madaktari wangekuwa wanafuata wagonjwa majumbani?

Lakini mbona huko mahospitalin kuna vituo vya maombi mkuu, mfano muhimbili kuna makanisa pale mgonjwa akihitaji maombi anasogea tu
 
Kwa hasira kuu, bila salamu

Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosho, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu

Ieleweke kwamba:

1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima.

2. Pia hela zina njia zake, una weka hela ili upate hela, cheza bahati na sibu, au kamari au any other consideration, including consideration ya vitu haramu

Hivyo basi, waende Muhimbili au Ocean Road Hospitals, wakawaombee wagonjwa, wote watoke ma-wodini waingie road, hapo tutawaamini

Hela haziwezi kutokea kwa kubeba mchanga au kupaka mafuta au kumwagiwa maji au kuombewa, au kupigiwa ramli, hivyo vyote ni ushirikina

HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU
Unaamini kuwa kuna manabii wa kweli pia? Kwa nini usiseme na manabii wa kweli ukaacha kupoeza nguvu zako na manabii wa uwongo?
 
Ndivyo tulivyoambiwa na Biblia, tuwa makini na manabii wa uongo
 
Kwamba Mungu ndio anavyofanya kazi kwa kufungua magoli sijui hilo, hebu waza kama madaktari wangekuwa wanafuata wagonjwa majumbani?

Lakini mbona huko mahospitalin kuna vituo vya maombi mkuu, mfano muhimbili kuna makanisa pale mgonjwa akihitaji maombi anasogea tu
Mkuu yesu alikua anaranda randa kila mahali kuwaombea watu, anawafuata huko huko walipo, alikua hana kituo na hana promotion au advertisement, hawa wapigaji wako kibiashara na wanauza baraka (maji na mafuta na wengine wanaweka viingilio)
 
Alikuwa harandi randi kuwaombea watu,bali alikuwa anahubiri habari njema, na wagonjwa alikutana nao njiani tena wengine walimfuata
 
Hawa wapigaji wanasumbua raia, tu, kwanza hawana chochote wanachokijua kuhusu theology, watu walikua na Yesu na mababu zao walikaa na Yesu hawana shobo kama hizo
 
Kwa hasira kuu, bila salamu

Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosho, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu

Ieleweke kwamba:

1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima.

2. Pia hela zina njia zake, una weka hela ili upate hela, cheza bahati na sibu, au kamari au any other consideration, including consideration ya vitu haramu

Hivyo basi, waende Muhimbili au Ocean Road Hospitals, wakawaombee wagonjwa, wote watoke ma-wodini waingie road, hapo tutawaamini

Hela haziwezi kutokea kwa kubeba mchanga au kupaka mafuta au kumwagiwa maji au kuombewa, au kupigiwa ramli, hivyo vyote ni ushirikina

HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU
MBONA UNAWAPA KAZI KUBWA SANA!!!?
WAFANYE MAOMBI MAPEPO YOTE YAHAMIE KENYA AU ZENJI!.
SIO KILA SIKU, MWEZI, MWAKA PEPO TOKA, PEPO TOKA.
 
Hakika, wanachosha watu tu
 
Sijawahi kuona jirani au ndugu anayesali kwa hawa MATAPELI wa Biblia akamiliki mali au akapona magonjwa. Sasa hawa eti wamepata magari kwa maombi ya Mwamposa:-

Upuuzi na USHIRIKINA tu
 
Hivi wewe unatumi
Kwa hasira kuu, bila salamu

Hawa manabii na mitume wauongo wanasumbua sana raia wetu wasio na akili za kutosha, wanawadanganya kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu

Ieleweke kwamba:

1. Wagonjwa wako mahospitalini hao wa mitaani siyo wagonjwa ni watu wazima.

2. Pia hela zina njia zake, una weka hela ili upate hela, cheza bahati na sibu, au kamari au any other consideration, including consideration ya vitu haramu

Hivyo basi, waende Muhimbili au Ocean Road Hospitals, wakawaombee wagonjwa, wote watoke ma-wodini waingie road, hapo tutawaamini

Hela haziwezi kutokea kwa kubeba mchanga au kupaka mafuta au kumwagiwa maji au kuombewa, au kupigiwa ramli, hivyo vyote ni ushirikina

HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU
Unatumia akili kweli? Hospitali wanafanya biashara, waende wakachukue wateja wao? Mbona watawaitia polisi? Use ur common sense!
 
Mnakumbuka Kikombe cha babu wa Loriondo?
Hii ni ushahidi kwamba WaTZ kadri ya 92% wanaamini kwene ushirikina.Haijalishi wanakwenda Kanisani au msikitini bado Wana ushirikina.Hapo Pana msomi Kaenda Kuombewa alinde Kazi yake.Katika waliohudhuria wapo watu wa madhehebu ya kila Aina.Yaani sehemu kubwa ya Maisha ya mwafrika inacheza Kati ya kwenda Kwa waganga na Kwa manabii na Watu wa upako.Hili Siyo geni.Mwisho watu kama Mwamposa na wengineo wanaitwa social entrepreneurs:Wameiona Fursa wakachangamka.Kama Hujui watu Wana shida nyingi hasa za kiakili.Biashara zikiyumba watu wanatafuta ufumbuzi,mtoto akifeli Mtihani Wazazi wanawahi,Mtu asiye na kazi pia anapop Kati ya waganga na manabii.
 
HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU NI DALILI KWAMBA NCHI YETU BADO IKO DUNIA YA TATU NA WATU WAKE BADO WAKO KWENYE SAFARI YA KUWA BINADAMU
Wale wagonjwa hawana Hela wale

Hananja ameiona fursa kufungua Sober House anapiga Pesa za Wadhamini

Sasa hao Manabii na Mitume cha kuwasaidia km wao kweli wanauweza mziki waongee na Serekali iwajengee hospital ambazo watu watakua wanaenda kuchomolewa magonjwa kwa kupigwa maombi tu na sio vinginevyo au ikiwezekana basi wajenge hospital zao km wao kweli wanamaanisha

Mchungaji anakwambia Namba yangu ni hii hapa Ila hii Namba PIGA nikuombee upone unachoumwa Ila "usipige kuniomba kazi km huna kazi" unaelewa hio sentence Mchungaji anasema "usipige kuniomba kazi km huna kazi" halafu anaendelea kusema "labda upige nikuombee upate kazi Ila kwangu hakuna kazi" mtu anakwambia kabisa kwake hakuna kazi Ila kukuombea upate kazi Ni haraka sana alafu anakudai na Sadaka kwa M-Pesa TIGO Pesa
 
Back
Top Bottom