MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
-
- #21
Andika uzi wako, hiyo ni mada nyingineSio manabii wa uongo tu.
Catholic, kkkt, anglican, waislamu zote hizo ni dini za utapeli maana wanaemuabudu ni fictional character
Mungu mwenyewe anaeabudiwa hayupo na hajawai kuwepo.
Hivyo usiwaseme manabiii peke yao. Huku waroma na walutheri nao wanakusanya sadaka za waumini wao
Wanaturudisha nyuma sanaKosa kubwa ni kuaminisha unaweza ponya maradhi kwa njia ya maombi
Hakunaga kitu kama hicho, riziki inatoka kwa MunguUkifungwa kiroho utapambana sana hadi kaburini utoboi
Pana aina mbili za maradhi ya kiroho na kimwili pia.Kosa kubwa ni kuaminisha unaweza ponya maradhi kwa njia ya maombi
jiratibu mkuu, kwamba ukiwa na malaria, usipoaamini chloroquine ukaimeza hautapona? Kwamba dawa haifanyi kazi mpaka uamini?Uponyaji unaponya kwa Imani kama hauna Imani utaponaje sasa,hata kwa mganga uponi bila imani
Aisee, ujinga ukifika hatua hii ni mbaya sanaMgonjwa ndie anaechagua wapi atapata uponyaji kama ni hospital au kwa nabii
Nchi ina kundi kubwa la watu wapumbavu, hawasikii chanjo wala dawaSidhani kama watakuelewa na wapumbavu wa namna hii wako wengi sana siku hizi na wanaigharimu Nchi kinoma.
Watu wanahitaji ukombozi wa fikra.Nchi ina kundi kubwa la watu wapumbavu, hawasikii chanjo wala dawa
Ndivyo wanavyojiita, hakika siyo mitume wala manabii, ni waganga njaa tuNimejaribu kuangalia kwenye Biblia na Qur'an, although I was rushing ila sijaona utabiri wa mitume na manabiI wengine zaidi ya hao waliopita.
Kama Kuna mtu ana maandiko ya ubashiri wa ujio wa manabii hawa wa sasa tafadhari tujuzane.
Nini kimetokea!!!!Apostle Kuna muujiza hukuuu!!
Ni tafsiri tu hata ulaya ipo hii sembuse Africa.Aisee, ujinga ukifika hatua hii ni mbaya sana
Watu wote wanao udhuria mikusanyiko chechefu kama hiyo wawe wanapewa vidonge vya kupunguza ukichaa, serikali inatakiwa iweke mobile clinics, wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sanaNi tafsiri tu hata ulaya ipo hii sembuse Africa.
Mambo ya imani hayaendi kwa scientific test.
Imani ni ishu za mawimbi yenye nishati itendayo kazi ndani yake
Kwan wanatofauti gani na wanaoenda jazana taifa eti wanaangalia mpira au kujazana kwenye siasa wanadanganywa na wanasiasaWatu wote wanao udhuria mikusanyiko chechefu kama hiyo wawe wanapewa vidonge vya kupunguza ukichaa, serikali inatakiwa iweke mobile clinics, wagonjwa wa afya ya akili ni wengi sana
Unapaswa kuanza dozi haraka sanaWagonjwa wakafate Tiba kwa Imani zao. Last time niliona kwenye doctrine Kuna watu walimpitisha mgonjwa wao kwenye dari ili asogelee Uponyaji, Au maji yakitibuliwa kila mtu ajisogeze birikani. .
Hizo ni parables za kwenye maandiko. Anyway kwa hao uliowaaddress sasa Mtumishi wa kweli mwenye Uchaji ni yule ambaye haruhusu Jina/Kanisa/Huduma lake liwe Kubwa kuliko Jina la Mwenyezi Mungu
#Church girl