Sikiliza English ya wakili aliyekuwa mkutanoni na Makonda

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika.

Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili.

Popoma naye anauliza "Application ni hukumu?"

Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika
View attachment 3002583
Kwahio lingua inglesa ndio umetumia kupima uwezo was wakili au vyeti vyake!!?

Wachina wanavoongea kiingereza kwa mother tongue kunawanyima tenda za madaraja!!?

Bongo zozo!!

Hii inatutafuna sana wabongo !tena sana!
 
'Wakili feki' maana yake nini?

Umedhibitisha vipi kwamba huyo ni 'Wakili feki'?

Endapo umedhibitisha 'ufeki' wa uwakili wake kwa COMPETENCE yake ya spoken English, basi wewe pia ni fekero huko 'upstairs'. 😎

-Kaveli-
 
Mkuu ni feki kwa sababu ya alivyosoma au siyo wakili? Kama kusoma sioni shida maana kingereza siyo lugha yetu ya kwanza hatuwezi kuwa fluent hivyo kwenye kukiongea
Suala la kusema kiingereza siyo lugha yetu ni utetezi wa hovyo sana.

Kuhusu huyo jamaa, inaonekana ana speech disorder, matatizo ya uongeaji.
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika

Siko vizuri kwenye lugha, ila huyo jamaa namshinda kabisa.
 
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.

Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika

Hivi sifa ni kuongea kiingerza kizuri au kutatua kero za wananchi?,

Wewe ni kenge pori,au bata mzinga wa kithungu
 
Back
Top Bottom